Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kila siku hatuli, hatulali, hatunywi, hatupumziki, Manzoki, Manzoki. Mmemuona? Au mnaingia kwenye mtumbwi wa kibwengo tu. Tuliwahi kumlilia sana Laudit Mavugo, kila siku Mavugo, alipokuja ikawa...
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Ni Watu watatu(3) tu ndio ni watu watatu tu Dunia nzima yani unahesabu 1,2,3 ndio walioweza kuchukua Kombe hili kubwa na lenye hadhi kubwa katika mchezo wa Mpira wa Miguu. Na ndio maana nikawaita...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda! He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground? Just got...
2 Reactions
16 Replies
929 Views
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025. Mfumo huo utakuwa na timu 32 na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kipigo alichompiga Croatia mwaka 2018 kesho kitamgeukia atachapwa ndani ya dakika 90 Messi atamfunga na wengine watafunga Messi pia atakuwa mchezaji Bora wa mashindano Na mwakani Messi...
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Ufaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98 Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka...
6 Reactions
119 Replies
6K Views
Nilitabiri ya kwamba mngekuwa mabingwa kwasababu niliwaamini tangia mwanzo lakini haikuwa bahati yetu japo mechi yetu na Argentina ilikuwa na makando kando mengi lakini hayo yamepita. Hongereni...
2 Reactions
10 Replies
482 Views
Nadhani ile misemo ya 'kwa Mkapa hatoki mtu' huenda ikawa mwisho wake umewadia, baada ya Nabii Mtume Mwamposa kukesha humo usiku wa leo akiwa ameujaza uwanja. Sasa tutegemee magoli ya kutosha tu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana. Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni kilichokuwa kikijiita Micky junior. Naona wajuba wamesepa naye na mitandao yake haipo hewani tena na haijulikani kafanyaje. Ikumbukwe, mara zote kalikuwa kakitumiwa na Babra kuiharibu image...
0 Reactions
7 Replies
842 Views
KIKOSI CHA MOROCCO Kikosi cha Kwanza Bounou; Hakimi, Dari, El Yamiq, Attiat-Allah; Amrabat, El Khannouss; Ziyech, Sabiri, Boufal; En-Nesyri. Benchi: Mohamedi, Tagnaouti, Aguerd, Saiss, Benoun...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni. Lakini pamoja na yote...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nahodha wa Vinara wa Ligi kuu England, Arsenal, Mnorway Martin Ødegaard leo anatimiza miaka 24. Ødegaard ni nahodha wa pili mwenye umri mdogo zaidi kwenye Ligi kuu England nyuma ya mlinzi Lloyd...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Nilikuwa miongoni mwa watu wanaorushwa roho kwenye you tube na mitandao mingine nikitafuta habari za kweli za Yanga. "Wahuni" walikuwa wanabandika picha nyingine, maandishi mengine na habari...
4 Reactions
3 Replies
568 Views
chelsea na Roma zimetinga robo-fainali ya Ligi ya Mabingwa ya Wanawake kwa ushindi mkubwa, lakini Real Madrid ilishindwa baada ya kufungwa na Paris Saint-Germain. Blues ya Emma Hayes ilitinga...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda. Yanga imewafundisha watu somo hili la...
18 Reactions
25 Replies
3K Views
Wandugu, Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…