Wakiwa Spain wanashangaa nini kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Morocco baada ya kutolewa kwenye mikwaju ya penalty huku baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini Spain wakilaumu kuachwa...
Taarifa za ndani ya Simba SC zinaripoti kuwa, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya Simba SC, Abdallah Salim 'Try Again' haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez kwenye...
Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji.
Kazi kubwa aliyofanya Messi...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira...
Most FIFA World Cup goals scored :
🇧🇷Brazil - 232
🇩🇪Germany - 227
🇦🇷Argentina - 138
🇮🇹Italy - 128
🇫🇷France - 124
🇪🇸Spain - 106
Most FIFA World Cup winners :
🇧🇷Brazil - 5
🇩🇪Germany - 4
🇮🇹Italy...
Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu.
Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia...
Ni kipi cha muhimu sana kwa washabiki ?, Je is football game of results ? au ni bora hata tukifungwa ila chenga twawala ?
Ni maneno mengi yamesemwa hata The GodFather of Boring (Jose Maurinho)...
Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar.
Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu...
Hivi kweli DSTV pamoja na ukubwa walio nao wamekosa watangazaji kwa upande wa lugha ya kiswahili zaidi ya hawa wahuni wanao jiita watangazaji?
Watangazaji hakuna wanacho kifanya zaidi ya kupiga...
Timu ikiwa inapata matokeo kamwe kwa mashabiki mandazi hawawezi kuona mapungufu yao ndivyo ilivyokuwa kwa Simba ya Mo na yanga ya Manji, tofauti ya Mo na Manji ni kuwa Manji alikuwa na love na...
Hii ni baada ya siku chache pale nchini Qatar katika mechi ya mtoano hatua ya 16 Bora morroco walipo fanikiwa kuwaondoa spain.
Sofiane Alisema ushindi huu ni kwa Waaarabu wote na Morroco.
Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 1974 lilifanyika pale Ujerumani Magharibi ambapo wenyeji walifanikiwa kushinda kombe hilo kwa kuwafunga Uholanzi 2-1 katika mchezo wa fainali. Ujerumani...
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana...
Brazil wameyaaga mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 baada ya kufungwa 4-2 na Croatia kwa mikwaju ya penalti.
Hakika Brazil ilikuwa ni ile ya akina Pele, Tostao, Garrincha, Didi na wengineo...
Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke ...
Nipo hapa kuwauliza mashabiki wa Simba na viongozi wao, je, bado mna imani Yanga haishindi kwa uwezo?
Bado mnaamini Yanga inatumia bahasha na Tigo Pesa kupata matokeo? Mashabiki wa Simba ni...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuingia ubia na kampuni Mama ya kitanzania ya Formula360 Ltd katika uwekaji wa matangazo ya kidigitali katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa kwa...
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini...