Sina mengi karata yanagu natupa
1. Brazil
2. England
3. France
Huu ni mtazamo wangu tusizungume sana tuupe muda wakati wa kuamua ππππππ
Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule.
Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba.
Hii ilikuwa ni chuki...
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda...
Huyo no Rais wa heshima wa Simba ambaye atajulikana Kama Dr Mohamed dewji baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA)
Huyu jamaaa ni hatari kwani ametoa hotuba ambayo...
Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha...
Wakuu tafadhali naomba mwenye nyimbo za mwimbaji maarufu wa nyimbo za Christmas Bw.James Reeves (a.k.a JIMMY REEVES) atuwekee hapa ili tudownload na kuenjoy nyakati hizi za sikukuu ya Christmas...
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3...
Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini?
Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!!
Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi...
Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika!
Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa...
Salaam wana jamvi!
Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika...
Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but...
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama...
90' Mwamuzi anamaliza mchezo
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi
Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga
82' GOOOOOOOOOOO
75' Namungo FC...
Binafsi nitafurahi Simba SC tukimsajili Saidi Ntibazonkiza!, wakikaa pale na chama tunakuwa na namba 10 wawili hatari!, hata siku chama amekosekana no problem!
Wachezaji hawa pia wakiondoka simba...
Hivi kwenye league yetu hii kumeshawahi kutokea mchezaji maarufu nje na ndani kama Fiston Mayele?
Nauliza tu sio kwa ubaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi mechi za leo, sijaona cha Brazil au Uingereza mwenye kiungo cha kupambana na Uhispania ya Luis Enrique Martinez.
Mechi dhidi ya Costa Rica alipiga pasi 1045, sijui kama kuna timu imepiga...