Makolo hii ni ya kwenu, Leo mtaishangilia Yanga au Mbeya City..!?
Maa'ke mi sielewi hapa, nachojua mkiishangilia Mbeya City mtakuwa mnaiogopa Yanga na mkiishangilia Yanga mtakuwa mnaiomba Yanga...
Niwaombe sana TFF kutumia Azam TV kama VAR. Itasaidia sana kuondoa uamuzi wa kijinga kama uliofanyika leo 26.11.2022 kati ya Yanga na Mbeya City.
Mtakuwa.mmefanya mapinduzi makubwa sana kwenye...
Nafikiri ni mda wa wale wanaoendelea kushupaza shingo kukubaliana na ubora wa yanga kwa sasa,,unaweza ukawa na chuki binafsi lakini aziwezi kukusaidia bali zitaendelea kukuumiza moyoni na...
Tukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City.
24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli...
Miezi kadhaa iliyopita mwekezaji wa Simba, Mo Dewji alitangaza kujiweka pembeni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo, kisha ‘kishkaji’ akamkabidhi nafasi hiyo Try Again, baada ya hapo Mo...
Kwa masikitiko kabisa na kwa mara ya kwanza in history chini ya uongozi wa Barba SSC imedhalilika na kupata aibu ya mwaka.
Hayo mambo yanayotokea ya kuazima makocha ni kitu ambacho kimeiondolea...
Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye...
Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara...
Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya...
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa...
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.
Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
Fun base kubwa – idadi...
Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni...
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya...
Habari wakuu kwa wataalamu wa sanaa ya mchezo wa karate kata zina umuhimu gani au zinatumika vipi katika kupigana iwe ni kwenye hali ya mtaani (street fight ) au kwenye mashindano ya karate .kwa...
Habari za mwamko waungwana,
nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu.
Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira...
Baada ya miaka 17 ya umiliki wa Glazers family, iliyokumbwa na mikiki ya kukataliwa na mashabiki, sasa rasmi wameamua kuiweka klabu ya Man Utd Sokoni. Hili limetangazwa tarehe 22/11/2022.
Katika...
Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu...