Makocha wasiojitambua wanashindwa kabisa kuepuka tabia binafsi za wachezaji na swala la uchaguzi wa timu. Simba Ni timu ya kawaida yenye wachezaji fixed. Sacko Hana mbadala Simba. Labda Kama...
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.
Lakini...
Yupo binadamu aliwahi kusema ukweli ni dawa kwa aliye tayari kuupokea. Mwingine akasema kama unacho cha kusema na kisha ukachagua kukaa kimya, hiyo ni tafsiri nyingine ya uongo.
Ni nani mwenye...
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.
Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City...
Hakuna mechi nimeangalia imeniuma kama hii ya Ubelgiji dhidi ya Canada.
Yani vijana wanapiga mpira wa uhakika, mpira mtamu, boli linatembea, yaani Ubelgiji leo ilikuwa kama Ihefu kwa Canada...
Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa.
Uingereza ina thamani ya...
Sikiliza mwenyewe
"Jina la Simba kuliko watu waliyopo, kwa mchezo huu namlaumu Mgunda kwasababu Boko alikuwa amechoka na amechelewa kumtoa hata kabla ya kuambiwa. Akamuingiza Kibu, lakini kibu...
Kwanini usitusaidie kwenye usajili achilia zile bilioni 20 za Mwamedi. Hizi 26 zinasaidia vipi timu yetu?
Tunaumia sisi mashabiki. Suala la ngada mbona hamjaomba radhi Ili tujisafishe japo kidogo...
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda.
Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine...
Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili...
Kama si mbiringe bila shaka ni patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Novemba 23, 2022 ambapo aabishi Mbeya City wanawakabili wekundu wa Msimbazi Simba SC kwenye Uwanja wa...
24 November 2022
Black Stars Vs Portugal match venue, Stadium 947
Sulley Muntari mchezaji nguli pia tajwa kimataifa wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana maarufu kama Black Stars awatembelea...
Nimeona kwenye gazeti moja la leo uchaguzi wa Simba utafanyika February 15 2023, sijaona sababu ya msingi kwanini uchaguzi uwe mbali namna hiyo wakati jahazi limekwishazama.
Waliyopanga uchaguzi...
Habari zenu wadau wa soka na mashabiki kwa ujumla hongera kwa yanga sport club kwa kushinda mechi yao ya mwisho na kukaa kileleni kwenye msimamo wa NBC premier league.
Wakuu leo tuongelee...
Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema.
Hata hivyo, huyu Manzoki toka...
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
Super coach Abdallah Mubiru ana leseni ya uefa pro licence na caf daraja A..Alipokuwa anafundisha polisi Uganda alisifika kwa timu yake kucheza kandanda safi la pasi nyingi na soka la kuvutia...
Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo?
Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani...
Huyu jamaa imefika wakati sasa ajiongeze kwa kujifunza fani nyingine maana mpira wa miguu umemshinda.
Hana akili ya mpira na muda wote anaangalia chini. Hata akiachwa na goli wazi hana uwezo wa...