Mbali na dhambi kadha wa kadha zinazozalishwa baada ya mtu kuingia katika mfumo huu jambo kubwa na baya zaidi kwa mtu huyu ni kwamba mfumo utamdai UMASKINI in long term hata kama atafanikiwa...
Wakuu mpo!
OMOYOGWANE sipoi, wengi wameshangaa sana kuona kocha wa KMC anaacha kazi na kujiunga Yanga katika nafasi ambayo siyo ya ukocha mkuu wala kocha msaidizi ila kapewa kazi ya kuwa...
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda...
Leo ndio leo kwenye kipute hiki cha Kombe la Shirikisho Africa kati ya wenyeji Simba ya Tanzania na wageni Sfaxien ya Tunisia.
Hii ni Match Day 3 kwa timu hizi na mechi zilizopita wote walichezea...
Sativa mikeka yako nahisi stale ni fake zakuedit, unashirikaiana na paripesa kuedot mwisho wa siku tunapasuliwa, mikeka yako ya nyuma yote ni lost STAKE ZAKO ZINATIA MASHAKA INAONESHA...
Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani...
Huyu kijana ametrend vibaya sana ,sasa inabidi watu walio karibu nae kumjenga kifikra ili asipotee,kwani kama hatosaidiwa na kwa elimu yake ilivyo ndogo atapotea soon
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii manaravoice
Huu ndio mfumo mpyaa wa young African, unaitwa gusa,achia,twende kwao au ukipenda kwa lugha ya malikia
TOUCH RELEASE AND ATTACK( TRA)na kama...
I salute you, kinsmen, kwa jina la “Gusa Achia Twende Kwao.
Baada ya jana wanaume kufanya kazi ya kiume na kuheshimisha nchi kwa pira “Gusa Achia Twende Kwao,” sasa leo tutashuhudia wale wavuta...
Team working (kufanyakazi kwa pamoja) hakumaanishi kusogeleana sana kimwili kati ya viongozi na watumishi wake, bali ni kiongozi kufanya na kuwepo pale unapohitajika kuwepo kwa wakati na wale...
Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni.
Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali...
Utegemezi wa Kamari ya Michezo
Kamari ya michezo ni kitu ambacho kinapaswa kubaki kuwa uzoefu wa kufurahisha badala ya kuathiri maisha yako kwa njia kubwa. B Media imedhamiria kusaidia mamlaka...
Kuwako kwa wimbi kubwa na la ghafla mtandao wa X (twitter) kwa wanaojiita mapunter.
Uchunguzi wangu...
Wanatabia kama za watu wa forex now kuonyesha wana maisha mazuri sana na wanapiga hela...
Huyu Ramovich ni kama anamchongea kocha mwenzake aliyetumia mechi 15 kufunga goli 31 wakati yeye mgeni katumia mechi 7 na kufunga goli 21. Gusa achia twende kwao imekuwa shubiri upande wa pili...
Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni...
Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo!
Yanga wanautwanga, wanakasi...
Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio.
Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David...
Nimeshangaa sana yaani mchezaji wa kigeni ambaye ni proffessional na amewahi kuwa MVP wa nchi anacheza utumbo tu na kocha hamuoni.
Kutuliza mpira hawezi
Kupiga pasi hawezi
Kila akijaribu ku...
Timu ngumu nyingi zipo shirikisho na sio klabu bingwa just imagine shirikisho kuna timu ngumu kama:
Simba
Asec mimosas
Rs berkane
Usm alger(mume wa yanga)
Zamalek
Al masry
Wakati champions league...