Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo.
Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex.
Izzy anachotafuta ni aibu zaidi...
Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti...
Na Godian Method
Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa...
Jana nimeona mashabiki chawa wote wa Simba waliamua kufunguka dhidi ya uongozi wa timu yetu ambayo wanajifanya kutia pamba masikioni, tulianza kuwaambia viongozi since day walipoanza kufanya...
Kwa kweli kama alivyosema mwenzangu humu jf, Leo ndio ile cku ya kuvunja unbeaten record ya yanga, kwa kweli hata cjui kwann kagera sugar walimrudisha Mexime, timu inacheza weeee lkn haina mipango...
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0...
Baada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo.
Ni lweli mpira una matokeo...
Ni wivu tuu..
Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto?
Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about...
Wadau wa soka mpo vyema
Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana.
Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia...
Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa...
Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital.
Hii imetokana rekodi mbaya...
Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa...
Igweeee igweeee!!
Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania.
Bila ya kupoteza muda, napenda...
FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC
Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Ihefu FC.
90+3' kuelekea kumalizika kwa mchezo, Ihefu FC wanajitahidi kadri...
Habari zenu wana JF,
Samahani nilikua nauliza kuhusu uno premier tips na sportpesa vip betting tips wanauza mikeka vp inakuaga ya uhakika au ni matapeli maana hua wanasema ushindi ni 100%
Kocha Seleman Matola anaondoka Simba kwa muda ili akasome. Matola amepata fursa ya kwenda kusoma kozi ya leseni A ya CAF, ataanza Novemba 21 ambapo atasoma kwa wiki mbili, kisha atarejea kikosini...
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.
Na takwimu za Azizi Ki...