Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mechi ya Simba na Yanga imechezwa tarehe 23-10-2022, Chama na Azizi walifanya makosa yaliyopelekea kufungiwa mechi tatu. Bodi ya Ligi imetoa hukumu jana tarehe 8-11-2022 takribani siku 17 baada ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu. Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji. 1...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Hakuna anayependa kufa lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanafikia kusema "Heri nife kuliko mateso haya", ndivyo ilivyo kwa wanayanga. Wako tayari kwa matokeo yoyote ilimradi ichezwe, ipite, wawaze...
10 Reactions
14 Replies
616 Views
Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya mechi ya marudiano na club Africain pale Tunis, TFF imetoa taarifa ya matukio ya mechi zilizopita baada ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Anaandika Eddoh Kumwembe, Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Upuuzi kwa waliotunga...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kupanga ni kuchagua. Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep...
23 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu, huu ni ushauri wangu kwa timu yangu ya Yanga ila sijui kama huu ushauri utawafikia viongozi wa juu Yanga, kwamba: Yanga wakifunguka wamekwisha panga iwe kucheza 'defensive with counter...
0 Reactions
19 Replies
924 Views
Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa. Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini" Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma. My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeogopa sana maneno hayo, iwe mvua iwe jua imekuwa ya Mwarabu, lazima ashinde huo mchezo.
2 Reactions
9 Replies
745 Views
Si bado wanatumia jina hili kama kejeli, siku tukianza kuwalima msibadilishe kauli zenu, eti eh wana nunua mechi au wana roga sana. Kuna majina yanakuja na baraka zake. Kama hili la wala mihogo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Poleni mashabiki wa Simba, yule mpishi wenu tegemezi mtamkosa kwenye michezo mitatu. Kwasisi Yanga mambo ni byuti byuti, tuna viungo wengi hadi wengine hatujui tuwafanyie nini.[emoji16][emoji16]
1 Reactions
33 Replies
3K Views
MKWASA"MASTER" GWIJI LA MPIRA NDANI NA NJE YA UWANJA,MWANAFALSAFA WA MPIRA WA KUSHAMBULIA MUDA WOTE. Leo 12:15pm,19/01/2020 Charles Boniface Mkwasa "Master" beki bora kuwahi kutokea na kiungo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliyopita kimewatesa sana wana Simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa Simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Jamani haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mkubwa wenu.
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Nipenyezewa taarifa kutoka insiders wa kampuni ya Adidas kuwa, wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya Simba baada ya kuona watapata milliage kubwa barani Afrika. Hi imekuja baada ya Simba...
44 Reactions
64 Replies
6K Views
EUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023. Ratiba ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
4 Reactions
19 Replies
832 Views
1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais...
30 Reactions
66 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…