Hawa CS Sfaxien ni timu mbovu kwenye Mechi 5 zilizopita hajapata ushindi wa sare kafungwa zote
Mnyama mkali uwanjani na kiboko ya warabu anaenda kushusha kipigo kizito ugenini na Kuongoza kundi...
Man United: Kipigo, Matumaini Yanayoyeyuka, na Mvumo wa Mashaka
Usiku wa Desemba 30, 2024, Old Trafford, uwanja uliojaa kumbukumbu za ushindi wa kihistoria ukageuka kuwa kaburi la matumaini ya...
Swali wakuu wa vitengo hapa jamii forums
Baada ya Simba kuleta slogani ya waimba taarabu ya ubaya ubwela Yanga wakaleta slogan ya kiupambanaji ya "GUSA ACHIA TWENDE KWAO"
Sasa Jana nilikua club...
Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC.
Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote.
Uchebe mwanzoni mwa pre season...
Habarini,
Kama nilivyoanza hapo juu haya ndo yatakuwa matokeo ya mechi za Leo za Cafcl na Cafcc za Tarehe 4 January 2025 na kesho 5 January 2025.
(Kesho): Constantine vs Bravos (Bravos...
Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa...
Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa.
Kiukweli wana...
Nafasi ya namba 10 haipo tena kwenye mpira wa sasa, kila kocha anacheza 4-4-2 au 4-3-3 ilikua kila mtoto anatamani kucheza namba 10 lakini kwenye mpira wa sasa nafasi hiyo haipo tena, hakuna kocha...
Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza...
... π§ βΊβΊ πππ πΎπππ ππΌπΎππ
Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.
01 β Edson Arantes jina la utani, Pele π§π· ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi...
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika...
Bondia Hassan Mgaya aliyepoteza maisha tarehe 29 December, 2024 baada ya kupigwa TKO.
Baada ya kupigwa TKO alilipwa Tsh 60,000 kama malipo ya PAMBANO hilo
Kiasi hicho kilitajwa na Shehe ambaye...
Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu.
Emegine kwamba...
Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana.
Wewe umeaminiwa...
Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana...
Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka...
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani
"Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga...
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi...
Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc.
Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal...