Wanasimbaaaaa,
Kweli kupoteza ubingwa last year na msimu huu kupoteza game muhimu za ndani zinatuwehua sana lakini kuna values lazima tuzilinde.
Timu yetu imefanya vizuri zaidi ya misimu 4 ndani...
Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo.
Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya...
Wakiwa wanacheza soka la kuvuta hisia mujarabu na kuburudisha watazamaji walio wengi, soka ambalo limethibitishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC leo Juni...
Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu.
Na Viongozi wa Simba ni kama vile...
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa...
Original post and source
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda...
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira...
Hatuwezi kuwa tunawasakama wanasiasa kwa kufanya madudu serikalini wakati kuna kada nyingine inafanya mambo ya hovyo. Kila wiki naanzisha nyuzi za ubovu wa waamuzi kila baada ya mechi ya NBC PL...
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani...
Kama ulifurahia kukataliwa kwa goli la Mayele katika mechi ya mwisho ya NBC Premier League ya msimu wa 2021/22 (lililomkosesha tuzo ya ufugaji bora) na ukaja ukafurahia goli la Simba dhidi ya...
Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu?
Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa...
Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu...
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.
Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata...
Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi.
Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli...
Swala la Simba na Yanga kubebwa na marefa ni kitu endelevu na haitatokea siku itaisha. Leo Simba wanawazomea Yanga kwa kupewa penati isiyo ya halali kesho hao hao Simba watafunga goli la offside...
Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah.
Tulidharauliwa sana.
Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo...
Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa.
Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo...
Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC.
Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye...
π§πππ‘π π¬π’π¨ | ππ₯ππ‘πππ¦ πππ₯πππ
Uongozi wa Kagera Sugar Football Club umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Fransic Otieno Baraza.
Uongozi wa klabu unapenda kumshukuru...
Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae.
Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba.
Hawq jamaa...