Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hao watatu walisema Simba itashida 3-0. Huyo mmoja naye akasema Jenerali Moses Phiri atafunga goli. Yote hayo yametokea
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu...
18 Reactions
29 Replies
3K Views
Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mechi itaanza kwa Yanga kutangulia kupata bao, jamaa watafanya come back na ku level score board. Jamaa watapiga chuma cha pili na cha tatu. Badae watapiga chuma cha nne ila itkuwa off side...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Leo Haaland kafunga hat-trick, kuna timu kati ya hizi mbili, Ruvu Shooting na Al Hilal. Kuna moja watapigwa hat-trick na Mayele, kama sio Ruvu basi watakuwa Al Hilal, ila zaidi sana ni Al Hilal...
4 Reactions
3 Replies
743 Views
MANCHESTER DERBY, Ni mechi za mpira wa miguu zinazowakutanisha timu kuu mbili nchini Uingereza ambao ni Watani wa Jadi kutokea jiji la MANCHESTER upande wa GREATER MANCHESTER, Nao ni MANCHESTER...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Naam, burudani ya soka inarudi tena weekend hii baada ya mapumziko mafupi kupisha michuano ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, hivyo tutashuhudia mitanange kadhaa itakayopigwa katika...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza nimpe hongera kwa kuteuliwa katika nafasi hiyo. Jana niliangalia mechi ya Namungo na KMC nikamuona kocha wa Namungo ambaye ndie kocha was timu ya soka ya Taifa, Janza, akiongoza timu...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Baadhi ya makocha wa Premier League wanataka matumizi ya Teknolojia ya kumsaidia mwamuzi uwanjanani ( (Video Assistant Referee -VAR) kuondolewa kutokana na waamuzi kufanya makosa licha ya...
2 Reactions
2 Replies
841 Views
Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati. Hivyo mazoezi ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Moja ya tukio baya katika mchezo wa soka limetokea baada ya askari Polisi kurusha mabomu ya machoni kwa mashabiki hali iliyosababisha mkanyakago na watu zaidi ya 180 wakijeruhiwa baada ya timu ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Anaandika Edo Kumwembe... ✍️ Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe. ndo maana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, mie nilikereka mno tena mno baada ya kusikia sintofahamu za kocha, mchungaji bora wa msimu uliopita na uongozi wa hii timu ya Geita Gold. Sijui walijiona wamefika mwisho wa soka baada ya...
1 Reactions
4 Replies
711 Views
Una jua tofauti na uwezo wake wa kufunga Fiston mayele ana nyota ya umaarufu. Toka nizaliwe sijawahi kuona au kumsikia mchezaji yeyote kwenye league yetu hii ya Tanzania ambaye alikuja na upepo au...
5 Reactions
4 Replies
660 Views
Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico, Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji? Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi?
9 Reactions
82 Replies
6K Views
Fiston Mayele akiwafunga hawa Al Hilal goli zaidi ya moja inawezekana akawa mchezaji anaye ogopwa zaidi Afrika. Na inawezekana akawa mchezaji wa kwanza wa Afrika kutangazwa na vyombo vya habari...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu mliohitimu Cuba, kama Lunyasi walivyomfix mzungu ndivyo waarabu wa Uto watavyomfix jamaa yetu. Jamaa yetu ni liability ambayo waarabu washaona itawatesa huko mbele. Kidogo kidogo akikosa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…