Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naomba kufahamishwa mwenye jukumu hili la kuajiri na kufukuza makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania . Je ni Wallace Karia ambaye ni Rais wa TFF au Katibu wake , ama ni kamati ya Utendaji ? na ni...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo jamuhuri ya Tozo inaenda kupindua meza kibabe kabisa ugenini St Mary's Kampala Uganda,,karibuni site tuwaunge mkono
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Ally ameboronga Sana leo kwa jinsi alivyokuwa anawatambulisha wachezaji wake japo alikuwa Ana utani ila hawezi kumfikia Manara kwa uwezo na ujuzi Kama mropokaji Manara alivyofanya katika sherehe...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Sitoi ufafanuzi ila naomba kufahamu, ni kwa nini taarifa hazijulikani au hazipo wazi kuhusu pesa za usajili + mishahara ya wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania? Au ni mimi tu ndio sifuatilii? Ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Morrison, Aziz K, Frisal na Mayele. Hawa wote wamewahi kuifunga Simba ktk nyakati tofauti. Anaongezeka Tuisila (shughuli yake inafahamika). Poleni Manyonyo FC
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu nimeona Katika gazeti la Mwanasport toleo la leo, Jumamosi, September 3, 2022. . Kupitia safu inaitwa Mpapaso ya Mwandishi Masau Bwire ametoa sababu Kuu mbili za timu ya Taifa ya Mpira wa...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..? Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika. Mchezo...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Hii Singida big stars ina mkono wa mtu anayelazimisha tozo haramu kwa nguvu. Huenda ni janja yake ili anunue wachezaji wa kibrazili timu nzima.
2 Reactions
9 Replies
731 Views
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa? Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Daktari wa Timu hiyo ambaye kwa sasa alikuwa Daktari wa timu ya vijana, Yassin Gembe amefariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenye link arushe tuone au mechi ishapiggwa !!??
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha...
15 Reactions
30 Replies
4K Views
Kikosi kina Mapungufu makubwa na ya Kimsingi na hata Kocha Mkuu Zoran Maki ni tatizo na natabiri anaweza Asile nasi Watanzania Krismasi ijayo. Mpaka sasa Simba SC haijanivutia.
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi hapa vikosi vya watani wa jadi yani Simba Sports Club na Dar Young African msimu huu wa league 2022/2023
2 Reactions
8 Replies
972 Views
Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi na wa pili pale kwa Mkapa, najiuliza kama kweli Zalan wako serious. Kwann gemu...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawashauri acheni kuokoteza takataka za ulaya Mfano SIMBA Dejan hakuna kitu ni uchafu mtupu Kina sakho na Banda ni uchafu kwa YANGA: moloko tia maji tupu hakuna kiwango cha maana na yule...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Vilabu vya Premier League vilivunja rekodi yao ya matumizi ya msimu mmoja wakati wa uvamizi wa pauni bilioni 1.9 ($2.1 bilioni) wakati wa dirisha la kiangazi. Kundi la Biashara la Deloitte la...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…