Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna wanasoka wamewahi kucheza pamoja kwenye klabu mbili au zaidi za soka pamoja! Ikumbukwe hapa hatuhusishi timu za taifa. Leo tuwataje wanasoka hao na vilabu tofauti walivyocheza pamoja...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo. Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Mm ni mfatiliaji sana wa epl week in week out Wachezaji wa sasa wa uingereza wamekuwa wa hovyo tofauti na miaka ya nyuma tu apo cha kuna kwa kina soul camble na ashley cole Ukiangalia makinda...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Wananchiiiiii Moja ya sajil bora ilofanyika kwa Yanga ni ongezeko la Tuisila Kisinda "Tk Master" Ishu sio tu kua anarud kwenye timu yake ya zaman, ila pia analijua soka la Bongo kama ilivyokua...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuseme akiwa Livepool hakuwa na furaha au haikuwa klabu ya ndoto yake au pesa anayovuta Bayern Munich ndio inamfanya awe na tabasamu kubwa muda wote xaiz mane akifunga unaona kabisa anacheka mfano...
13 Reactions
77 Replies
7K Views
Waambieni kwamba kisinda alikuja kwa mkopo toka sa vita hamjamuuza kwenda morroco kauzwa na wakala wake ,hivi hizo biashara zenu na as vita zimejaa uongo uongo tu , Dujma shaban ilitakiwa mummpe...
17 Reactions
191 Replies
19K Views
Mchezo ni saa 2 usiku Lineup ya Simba
5 Reactions
263 Replies
18K Views
Nimeangalia gemu ya Simba vs Al Hilal na nimebaini yafuatayo. 1. Simba ina uwezo kwa sasa kucheza na timu yoyote duniani bila kumtegemea Manula wala Benno, hili jambi Utopolo hawawezi kuthubutu...
25 Reactions
40 Replies
3K Views
Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu. Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukiwa na kazi yakiuza jezi kwa club namba mbili kubwa zaidi Afrika baada ya al ahly inabidi ujipange sana maana ina washabiki wengi mno tofauti na vi club vidogo vidogo. Ukiuza jezi kwa vi club...
2 Reactions
2 Replies
585 Views
Simba imesajili vizuri Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa nimeanza kumuelewa alie kuwa kocha wa Simba Patrick Ausem kuwa viongozi wengi wa bodi ya wakurugenzi hawana elimu na upeo wao wa mpira ni mdogo sana. Ukiitizama simba kwa misimu mitatu...
4 Reactions
11 Replies
847 Views
Pamoja na malalamiko ya mashabiki kwa wakati wote wa dirisha la usajili kuwa wazi, binafsi nlikuwa najipa moyo kwamba watafanya kitu. La kushangaza kumbe ni kweli usajili umekamilika baada ya...
4 Reactions
10 Replies
667 Views
Mara kadhaa Simba amefanya vizuri Kwa Sababu mechi zake Nyingi Alikuwa anashinda Home Zaidi Kuliko Away. Sikumbuki Mpaka [emoji881] anafika Quarter Final Ya Caf Kama alishinda Mechi Zaidi Ya 2...
0 Reactions
9 Replies
933 Views
Vipi hii kauli bado ipo?? Nyie mashabiki maandazi tambueni mpira ni zaidi ya kutumia simu ya tecno.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Manara katukosea sana wana Jangwani kwamba wenye akili ni baba yake na Kikwete tu. Yaani ukiangalia mambo Yanga wanafanya, mashabiki zao points wanazoandika ni kama kuna kaukweli hivi. Hii kauli...
15 Reactions
71 Replies
6K Views
Watu wa Soka, Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…