Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Federation of Uganda Football Associations (FUFA) Federation Rwandaise de Football Association (FERWAFA) The Tanzania Football Federation (TFF) Football Association of Zambia (FAZ)...
2 Reactions
7 Replies
605 Views
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz? Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Nasorro Kapama ni mzuri katika ile nafasi aliyocheza leo ukilinganisha na Onyango. Kapama ni mtulivu zaidi ili hali Onyango hana composure. 2. Dejani apewe muda zaidi. Ni vyema tukampa muda...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari! Kuna tetesi Mwamba wa Lusaka hadi leo hajaongeza mkataba wake katika club ya Simba. Hawa watani wanazunguka huku na kule kujitahidi kumshawishi Mwamba kusaini ila odds zinakuwa ndogo...
4 Reactions
87 Replies
11K Views
Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia...
1 Reactions
12 Replies
914 Views
Hawa viomgozi ni kama s kabisa kumuacha kocha huyu. Simba tutalia
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora, Ulimboka Mwakingwe, Mwamnyeto, Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao ni wanyaki, Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana. Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hivi mtafanya siri mpaka lini?
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Watu wa mpira tunajua kuwa kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa. Kaseja analalamika Manula mchawi na Manula nae kutwa hataki kumsikia Kaseja kwa...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hureeeee ,hureee amkeni amkeni wamefungwa Tena bwana.
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Afrika inachekesha sana kwa kigezo gani Al ahly wanashirik CAF CL hii ndio maana soka letu Afrika linashida kubwa.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona akuna ata uzi mmoja vip wale wazee wa uzi siwaoni kabisa
0 Reactions
5 Replies
421 Views
Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu...
15 Reactions
33 Replies
3K Views
Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Salaam wana jf Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na...
11 Reactions
94 Replies
10K Views
TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya. Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…