Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa. Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama nilivyo sema kwenye post zangu za nyuma apo yanga sisi ni kama Vladimir putin Tuna kupiga kimia kimia bila kujua Sasa hivi makolo bado wanatuona kama mazezeta fulani hivi eti kimataifa ao ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mandonga amekuja na kauli mbiu kwa game inayokuja mwezi ujao. Sea never dry ,man don't cry. Ameelezea zaidi atakayekutana naye "atapigwa kama ngoma refa akizembea kidogo tu anakuta mtu amekufa...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi...
2 Reactions
5 Replies
994 Views
Siku moja baada ya Timu ya taifa ya Tanzania kufungwa goli 1-0 dhidi ya Uganda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumuondoa Kocha wa Tanzania, Kim Poulsen kwenye benchi la Ufundi...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwa kawaida sisi wana Simba hatunaga akili mbovu kama hawa wenzetu vinyesi fc, imekua kero mitaani ukibishana nao kidogo tu wanakumbushia tobo alilopigwa zimbwe kana kwamba ni kitu cha ajabu sana...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England...
2 Reactions
8 Replies
838 Views
Kim Poulsen wamemtimua kufundisha timu ya wakubwa Taifa Stars but it is too late! Tumepigwa nyumbani mechi muhimu sana Algeria na Uganda wakamalizia kwenye mshono! Nilizungumza sana kocha hatufai...
0 Reactions
4 Replies
553 Views
Simba msikariri kuwa yanga kimataifa ni sawa sawa na Mbeya kwanza sijui kimataifa hatuna lolote sawa tumekubali hatuna lolote. Naombeni mtambuwe yanga ya sasa sio ile yanga wa zamani Kumbukeni...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Miaka kama mitano hivi iliyopita kabla simba haijamilikiwa milele na kanji ilibidi itumike nguvu ya ziada kwa kutumia gharama kubwa kwenye sajili za wachezaji, matumizi, kununua uwanja, n.k. ili...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana 1. Jose Mourinho -chelsea, Man U 2. Marco Silva - Everton 3. Fransesco Guidolin - Swansea 4. slaven bilic -west...
3 Reactions
3 Replies
685 Views
Azam FC wameachana rasmi na kocha wao mkuu Abdihamid Moallin pamoja na msaidizi wake Omary Nasser. "Tumefikia makubaliano kwa pande mbili na Kocha wetu, Abdihamid Moallin pamoja na msaidizi wake...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Je yanga akimtoa zalan fc na yeye ( yanga) akatolewa na Al hilal au St George ataangukia shirikisho au ndio imetoka hiyo?? Similarly to Simba??
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine. Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Tshabalala anashida moja mzuri kuattack likija suala la kujilinda ni uchochoro. Akicheza na winga sio wa kurudi kuja kumsaidia tutaumia sana mechi za CAF Quattara mzuri wanasimba wasiwe na...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Griezmann anatoka kwenye benchi na kuipa Atletico ushindi dhidi ya Valencia Antoine Griezmann aliingia akitokea benchi na kuipa Atletico Madrid ushindi wa 1-0 wa LaLiga dhidi ya Valencia siku ya...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…