Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga". Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira...
0 Reactions
6 Replies
743 Views
Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA. Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Salaam Wana JF, Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana. Jezi Kama batiki Ukiangalia kwa mbali kwa hizi...
12 Reactions
143 Replies
6K Views
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu. Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea. Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua. Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya...
0 Reactions
6 Replies
571 Views
FIRST ELEVEN YA SIMBA 2022. 1. Aishi Manula. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Mohame Oattara. 5. Enoch Enonga. 6. Hapa hakuna mchezaji sahihi. 7. Augustine Occrah. 8. Victor...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi. CAF hawajatoa list wamesema watatoa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji Chicharito, 34...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za...
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1. Chelsea anadraw 1-1 Liverpool anashinda 3-1 Spurs...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Hii ni habari njema sana kwa soka la Tanzania. Simba na Yanga zitaanzia hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Africa msimu ujao 2022/23. Here is the right news only.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Ahmad ally alimtambulisha kwa mbwembwe nyingi sana...sote tukatishika na kutegemea makubwa sana lakini hali ikaja kuwa tofauti. Je, tutegemee makubwa kutoka kwa mzungu? Japo wengine watasema...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
MHESHIMIWA Rais Samia Suluhu Hassan amesema Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi zaidi kwa kuongeza jitihada mbalimbali zitakazoendeleza mpira wa miguu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Niliwahi sema hapa ukitaja wapinzani wa Jadi Duniani Simba na Yanga haziwezi fikia hata robo ya upinzani wa timu za Agentina au hata hopo Misiri. Shida ni kwamba wale ni wasomi, hio ndo tofauti...
3 Reactions
7 Replies
458 Views
Kiwango kibovuuu Mnacheza mbele ya mashabiki wenu Na jezi zenu za network + zile za museum
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…