Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Utopolo mchezaji WENU kweli aliwahi kubahatika kupita kwenye klabu ya Newcastle united ya ligi kuu England kwenye miaka ya 2012 huko ila kwa Newcastle Ile ya miaka 2012 isingekuwa rahisi kupata...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma. Taarifa zinasema Shirikisho la Soka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Haki ya kukata rufaa kupinga hukumu ni ya mshitakiwa (mhukumiwa). Hatua hiyo ina taratibu zake, mojawapo ni kumpatia mhukumiwa nakala ya hukumu pamoja na mwenendo wa kesi Haji Manara anadai kuwa...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Picha hii inaweza kukuonesha hili ninalouliza. Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi?
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni? Case study Haji manara! Sikio la kufa! Kaonekana...
11 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Tafakuri Jadidi: Je, Tudhani Ni Sahihi Inapokuja Ushabiki Wa Simba Na Yanga Hata Watanzania Wenye Digrii Zao Kugeuka Kuwa Wapumbavu Tu…?! Ninaposoma hoja za mitandaoni inapohusu Simba na Yanga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68 Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu, Adv.Imani Madega Wakili Mkongwe na Mwenyekiti wa YANGA Kipindi Hicho Alimshitaki Yusuf Manji Mdhamini wa YANGA Kipindi Hicho. Kwa Kile Alichodai Kwamba Katika Sherehe ya Kufungua Tawi la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa ana nguvu ya kuvuta watu na kuwaweka nyuma ni watu wachache sanaa wanaobarikiwa nahii nguvu ambayo mungu huwapa ukiachilia Yesu Kristu, mtume Muhamad, Haji Manara, John Pombe Magufuli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote...
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Imetafsiriwa kutoka katika gazeti la RS. WAKATI mpira wa wavu ukishika kasi miongoni mwa wachezaji wa kike wa Kashmir, baadhi yao wamejitokeza na kujifunza kwa juhudi kubwa mchezo huo Katika...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Author Insha Latief Khan With hands joining tight, a player with all her strength throws volleyball to her opponent on the other side of the net. The opponent retaliates back with the same force...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kupeana update ya mashindano ya vilabu barani Africa ( Klabu bingwa na Shirikisho Africa) Tanzania tukiwa tunawakilishwa na vilabu vinne ambsvyo ni Yanga, Simba...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
CAF wametoa list ya timu zitakazoshiriki michuano ya klabu bingwa na Shirikisho Africa. Pia wametoa orodha ya timu zitakazoanzia hatua ya awali na zitakazoanzia hatua ya pili kwenye michuano yote...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Imekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo. Ni kwanini eti?
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…