Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni...
Hivi sijui kwa nini watu mnakuwa na ujinga wa kuiga mambo ya kiwango cha chini.
Hivi kwa nini usiige hata utambulisho wa kibabe kama wa WWE?
Umewahi kusikia Roman Reign akitambulishwa...
Naangali hii mechi, nauona ubora wa Simba unatokana na hawa waithiopia kuwa wabovu.
Timu inatembelea jina tu siyo bora kama ile tunayoifahamu.
Simba ni ileile iyopita haina jipya
Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,
Nimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.
Mpira ushaingiliwa na...
Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire.
Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki.
Kwanini ? Uwepo wa...
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na...
Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili.
Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli...
Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL Simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo Dewji...
Engineeer wala usiogope hata kidogo, hawana la kukufanya ndugu yangu we endelea na shughuli zako hata siku wakikuita kaa nyumbani kwako angalia movies
Hawana la kukufanya maana nchi itawaka moto...
Nashangaa Tanzania nchi yangu leo ni siku kubwa ya Simba Day na siku kubwa ya Nanenane lakini umeme hakuna hivi tunalipia Luku ili iweje maeneo ya Mbagala umeme hakuna waziri mwenye mamlaka leo ni...
Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake.
Kwa sasa kinachoendelea ndani ya klabu yetu YANGA SC ni uhuni uhuni mwingi.
Kila mtu Anapiga...
Hongereni M bet kwa kufanya nembo yenu ing'ae kwa kuamua kuchora picha za radi jezi yote ya simba
Jezi zina muundo wa kike sana, Au simba wanaume mambo yenu sio haba? Mmezoea Mombasa wana simba...
Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza.
Kutokana na...
Kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba...
Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo.
Anyway yule kijana toka Ogadougou...
Klabu ya Simba Leo itacheza mchezo wa kirafiki na wanakwaya wa kanisa la mtakatifu George kutoka nchini Ethiopia, st George ni kwaya maarufu sana pale Ethiopia ila sikutarajia kabisa klabu ya...
UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion...
Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi...
Ukubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi.
Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi...