1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia.
2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili...
Wengi wanajiuliza kuporomoka ghafla kwa uwezo wa Yanga msimu huu kumetokana na nini.
Kuna mvutano mmoja umekuwa unaendelea kati ya Gamondi na uongozi wa Yanga. Ni kwamba, Yanga imekuwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia!
Ni shabiki mjinga na...
Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar .
Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza...
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.
Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona...
Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo.
Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu.
Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki...
Kuna hii trend imeibuka ya wachezaji kushuka viwango (na wengine hawajawahi kuonyesha hivyo viwango) kutokana na tabia zao mbofu mbofu za nje ya uwanja halafu wanadai wamerogwa, wanakimbilia...
Nianze kwa kuwapa pole hawa jamaa kwani fikiria mtu unapewa kichapo hadi unapamis kwenu na kuanza kuimba Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Hata hivyo awali walifanya show off ya kufungua...
Mpira wa Tanzania ni mgumu sana, mpira wetu ni wa kikwetu kikwetu, wakati mwingine unapowaambia watu kuwa mpira wa Tanzania hauangalia uwezo wa makocha watu wanabisha, mfano mzuri moira unaochezwa...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Bw. Regis Uwayezu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda.
Mwezi Julai mwaka 2024 klabu ya Simba ilimtambulisha...
Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha...
Mtanange mkali sana leo.
21/12/2024.
MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera.
Mwenyeji : Kagera Sugar FC
Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam
Muda : 10 jioni.
KIKOSI...
Wakuu,
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni
Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata...
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!