Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni...
0 Reactions
5 Replies
511 Views
Watu wa Soka, Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu. Naumizwa sana na klabu kubwa namba moja africa yenye mataji lukuki ya kimataifa ikiwemo CAFCL. Kuzidi kuporomoka namna hii na kukosa ushawishi kabisa kwanzia uwanjani mpaka nje ya...
5 Reactions
95 Replies
6K Views
watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu? Huo muda wa mwalimu kumuona...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Ile siku ni leo. Waliopo karibu na events muhimu za leo wafanye wepesi please.
0 Reactions
7 Replies
596 Views
Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Tarehe 04.08.2022 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya Singida big star, katika siku hiyo ilicheza mchezo wa kirafiki na timu toka Zambia - Zanaco Fc. Baada ya siku hiyo kumezuka maneno na vijembe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni vigumu sana mchezaji mzuri kutoka utopolo au kinye FC kufanya vizuri akihamia Simba hasa kwa mechi za ndani. Hii si bahati mbaya ama wao wanavyoita eti mikosi. Huu ni utaratibu wa vizee fulani...
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Kumsaidia Haji ni kumuambia UKWELI pale anapokosea tu, wanaomzunguka HAWAMPENDI kwakuwa hawawezi kumuambia ukweli mchungu ambao ni tiba kwa tabia zake. Tunaoonekana hatumpendi ndio kiuhalisia...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
Ntammis Sana Mk14 na the animal straiker, Mk14 kajiunga na Singida big stars na je Mugalu yeye kwenda wapi? Pia na Thadeo Lwanga nae kaenda wapi?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mlemhala bhabha? Habarini wakuu? Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan. 1 Israel 2 Brazil 3 USA 4 South Africa 5 England, though akikutana na hao wa4...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Leo mchezo mmoja utachezwa kati ya Crystal palace vs Arsenal. Utabiri wa top four yangu ni hii hapa 1. Liverpool 2. Manchesiter City 3. Chelsea 4. Arsenal 5. Totenham 6. Manchester United
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Karibuni kwenye huu mjadala. Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono. Tumeshuhudia...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Jamaa walilipa advansi tu, mzigo ushakamilika kule Mumbai kwa ndugu zake MO ingawa wafuasi washajazwa kwamba zinatengenezwa ulaya, Sasa wahindi wanataka pesa yao ili watoe mzigo na Barbra pesa...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…