Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu.... Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa" Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike. Byut byut ni urembo urembo. Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu habar zenu Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi? Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha? Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
13 Reactions
78 Replies
6K Views
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best? Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Zamani kiliitwa chuo cha uongozi. Kulipotokea mapungufu yoyote,ukiukwaji wa haki za wanafunzi kulikuwa hakuna migomo au maandamano ktk chuo hicho. Tofauti na vyuo vikuu vingine. Wanafunzi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa! Halafu! Hawa Uto mbona hawana...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika msimu ambao mimi kama shabiki wa simba nimeridhishwa na usajili wa club yetu, tena kiufundi na kwa quality players basi ni msimu huu.Management imejitahidi sana kusajili kwa kuangalia...
13 Reactions
20 Replies
2K Views
Anaandika Thadei Ole Mushi AKILI ZA TABIA YA KITROPIK HAZINA MUDA WA KUFIKIRI. Na Thadei Ole Mushi. Kitaalamu ipo hivi. Akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi zenye tabia ya nchi za Kitropik...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma...
0 Reactions
3 Replies
617 Views
Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM. Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sana
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Nazani ndo uwanja mzuli ukitoa Taifa na Chamanzi aliyetengeneza atafutwe atengeneze na hivi vengine hasa mkwakwani tanga Sokoine Mbeya jamuhuri dodoma Kirumba, Mwanza viwe bora ka huu wa Singida...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
“Tulimpatia ratiba mapema kabla ya kujiunga alitakiwa kuifanya kwa ukamilifu lakini nimemuangalia naona Hakuifuata sawasawa ila atakuwa sawa,” Helmy Gueldich, Kocha wa viungo Yanga. [Mwanaspoti]...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wachezaji wanatambulishwa. Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi. Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam...
6 Reactions
119 Replies
9K Views
Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo. Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi Taji Liundi ni mbobezi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Wakuu moja kwa moja kwenye mada' Kwa namna ambavyo timu zinazoshiriki league ya NBC msimu ujao wa 2022/2023 zimefanya maandalizi ya usajili ya watu wa kazi, naiona league yetu inaenda kuongeza...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
Watu wa Soka, Nawaletea taarifa kuhusu Singida 𝐁𝐈𝐆 𝐃𝐀𝐘 tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua). Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…