Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kweli bongo tamu,machozi yamemtoka akipewa mkono wa kwa heri na Simba ila amesema haondoki bongo atapambana apate timu hata kama ni championship league
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY"...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakuna ubishi kuwa club ya Simba ndiyo club yenye heshima kubwa kimataifa iliyopo hapa nchini. Kuna jambo halipo sawa katika club yetu, mwaka jana na mwaka huu kuna mambo mawili yametokea ambayo...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund...
2 Reactions
1 Replies
895 Views
Asee Hawa jamaa sjui vp Jana nimewala kias tajwa hapo juu had sasa mpunga haujaingia app yao haifunguki lakn matangazo wanatuma kupitia simu kuwa tucheze Namba zao zote wamezofunga kwangu...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Hapo vip wanasimba Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
2 Reactions
9 Replies
982 Views
Mimi kama mwanayanga lialia nimeumia sana na hizi jezi za msimu huu. Hivi aliyedizain ni nani? Mbona analeta masighara na brand yetu? Hivi kweli sisi ni wa kutuwekea magodauni kwenye jezi zetu...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
4 Reactions
129 Replies
10K Views
Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi. Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wekundu wa Msimbazi Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa na Simba Day, leo Agosti 1, 2022 amejitupa uwanjani kucheza na Al...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Moyo wangu umejaa huzuni na sononeko la hali ya juu baaada ya kuona watani zangu wanakosa mtu sahihi wa kukamilisha madili kwa manufaa ya klabu. Kwa nchi zinazoendelea huwa kuuza "chest rights"...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY"...
3 Reactions
9 Replies
965 Views
CRDB ni official Simba Day partner "CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba." "Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Kama Simba na Yanga usajili na maandakizi ya kuanza ligi yanaenda sawa basi hakuna tatizo mafuta yapande saba bei, Bando zipande hakuna shida. Kikubwa yanga na Simba mmabo yako sawa hayo mengine...
3 Reactions
6 Replies
548 Views
Muundo wa CAF super league huu hapa wajameni, Southern and Eastern Africa zinaingiza timu 8 na kila nchi isitoe zaidi ya 3 ila inategemea klabu ina ubora gani kwenye rankings za CAF siyo kwa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amemjia juu Cristiano Ronaldo kwa kitendo cha kuondoka uwanjani wakati mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ikiendelea, Jumapili iliyopita Julai 31, 2022...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inashangaza sana hadi sasa upande ule hawajaona potential ya mropokaji, weka mzigo wa uhakika mezani mpe kazi hiyo ya kuwashambulia M - Bet. Yule haogopi Rais wa TFF wala waziri wa serikali...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…