"Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata...
Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi.
Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu...
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, hebu niweke mambo ya ajabu yaliyofanywa na Simba mwaka 2024
1. Kung'oa Viti 256 uwanja wa Taifa na kuwadhuru warabu wa Tunisia, Taifa limepata aibu kubwa
2...
Wachezaji hawa
1. Prince Dube
2. Aziz Ki
3. Chama
Lazima wote au baadhi wa/atupie. Hilo lipo wazi limepitishwa. Na Dube alifanyiwa maombi majini yaliyotupwa kwake na wazee wa Zanzibar...
Ubaya Ubwela!!
Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania...
Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis,
Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500
Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube...
Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka...
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA...
Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa
Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua...
Habari wanasports.
Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI.
Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati.
Kramo...
Kwa uharibifu mkubwa uliofanywa na mashabiki wa Simba kung’oa viti vya Uwanja wa Benjamini Mkapa kipindi ambacho marekebisho mbalimbali yanaendelea kufanywa na serikali katika Uwanja huo, adhabu...
Nakumbuka timu yetu ya darasa miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji 10. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie 11 kwa mjibu wa utaratibu, ilikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiza...
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini...
Wakuu !
Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali.
Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo...
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla...
1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi.
2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu...
Haya sasa kumekucha huko naona wapizani wa Yanga nao wamefukuza kocha.
Sasa je itakuwa faida kwa timu ya Wananchi kulamba alama 3 kwa Mkapa?
=================
Klabuni ya Mouloudia Club d’Alger...
Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika...