Na adv. Mussa Makwinya
Nimepata bahati ya kumsikiliza mwamasishaji wa yanga Haji Manara kwenye press ya leo. Nimesikitika sana kwa baadhi ya maeneo ambayo ameyazungumza kwa hisia na kudhani...
Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo.
LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
Watu wa Soka,
Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23.
Tulichagua kuweka kambi (Pre...
Habari wakuu ..
Mimi naona kabisa swala la Manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema.
Manara ni mtu mkubwa, ni zaidi ya simba na yanga, ni zaidi ya...
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports...
Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal...
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena...
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa...
Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu.
Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu.
Unaibuka kuwa hukumtukana
Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize...
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.
Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira...
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya...
Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu.
Karia wa kutwambia viongozi wetu wote wamejaa kinyesi kwenye sehemu zao za...
Huu ndiyo ukweli Mchungu
1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake.
2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa...
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na...
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa...
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili...
Katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Wilfred Kidao amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF Wallace Karia...