Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona.
Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na...
Nianze kwa kusema SAKHOOOOOO
Best goal of the year...
Lakini kila nikitazama video clip ya goal la sakho, namtazama pia Shomari kapombe, namna alivyofinya ball, akatulia na kumchagua SAKHO...
Hongera Sakho,hongera Simba Sc,hongera wachezaji wa Simba,hongera head coach na hongera Simba funs na Tanzania kwa ujumla.
Kufikia hapa tunazidi ku pave way to the success,mpira wa Watanzania...
Ni wakati sasa uongozi mturudishie msemaji wetu hakuna namna
Pole sana Haji lakini adhabu ni kubwa mno faini ni kubwa mno, siijui imewekwa kwa kukomoa au la
Historia inaweka wazi kuwa walifungiwa...
Upo mkakati wa kuhakikisha Cloutus Chota Chama anapewa kiasi chake cha pesa anachoidai Simba kutokana na Kuvunja mkataba wake na Berkane.
Ikumbukwe kuwa Simba SC walimpanga Chama kutumia pesa...
Nyota wa Simba, Pape Osmane Sakho anainyemelea tuzo ya goli bora la mwaka Afrika baada ya bao lake alilofunga dhidi ya Asec Mimosas katika Kombe la Shirikisho Afrika, Februari 13 mwaka huu katika...
Hii hukumu aliyopewa Leo Manara ni trela tu, ngoma yenyewe ya kuitukana na kuidhalilisha Simba bado hukumu yake haijasomwa.
Hii unayopambana nayo na kutetewa na wajinga wajinga ni ya kumtukana...
Leo asubuhi nimepata nafasi ya kuwa pamoja na mmoja wa kuongozi wenu. Yaani ni miongoni mwa wanakamati wa ile Bodi yenu.
Nilikuwa napiga nae stori mbili tatu viwanja fulani hivi hapa jijini Dar...
Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva...
Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta.
MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?.
Hebu shea...
Alikuwa na mpango wa kupewa adhabu ya kusimamishwa ili aache kuwasemea utopolo.
Lakini pia, kama ni faini watamlipia.
Kwa sasa nina uhakika utopolo ni jalala vichaa wote wanataka kuhamia...
Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF?
1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu
2: Mwakalebela miaka 5
3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free
Manara je ???
1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima
2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja...
Awali ya yote niwasalimu nashabiki wenzangu wa kijani na njano
Bila kupoteza muda nichukue fursa hii kwa niaba ya wazee wa jangwani na mashabiki wote watiifu wa wananchi kuulaani uongozi wa...
Ni Joseph Yona Na soccer letu
KWA MUJIBU WA TAARIFA NI KUWA WALIRUSHIANA MANENO KATI YA HAJI MANARA NA RAIS WA TFF KARIA
KAMA WALIRUSHIANA MANENO WHY AFUNGIWE MMOJA AU RAIS WA TFF ANARUHUSIWA...
Kamati ya maadili ya (TFF) imefafanua vitu vifuatavyo kuhusu hukumu aliyopewa Haji Manara kutokujihusisha na soka kwa miaka miwili nje na ndani ya Nchi.
1. Anaruhusiwa kwenda viwanjani kutazama...
Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji
Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi...
Kuna hayamambo TFF inafungiamtu kujihusisha na mpira. Nauliza kama mpira hauwezi kufanyika nje ya TFF. Mtu anaweza kuanzisha ligi ambayo TFF hawahusiki kwa lolote?
Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF...