Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96 yalifikia tamati baada ya wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza kushindwana na uongozi wa Simba SC kwenye baadhi ya maeneo kwenye mapendekezo...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwanzo nilitaka kuamini ila ni BIG NO! No Disrespect ila Kyombo is an Avarage player and an average players makes an Avarage team. Tangu last summer Transfer simba wamedrop standard ya...
2 Reactions
10 Replies
699 Views
Huyu mwana ni mjanja sana. Yaani amejimilikisha Klabu kijanja janja tu (Kama asemavyo KIGWANGALAH) Kwa namna anavyopenda kusifiwa na kupigiwa magoti nimeshangaa sana kuona kwanini haonyeshi hizo...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa...
1 Reactions
6 Replies
811 Views
Licha ya Simba SC kusaini pre-contract na mchezaji, Ceaser Manzoki bado yuko namkataba na klabu ya Vipers SC ambao unaisha mwezi wa 10 mwaka 2022. Kumbe Simba SC wameshindwa kutoa mpunga wa Dola...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Muonekano wa ndani. Na nje kwenye kambi ya MAKOLO huko Egypt. Sasa sii bora mngeenda Ruvuma tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo). Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Msaada kubwa unahitajika Msimbazi kuhakikisha wanachangia pesa takribani Milion 100 ili kuhakikisha wanaenda kuvunja mkataba wa Manzoki. Vinginevyo Rais wa klabu ya Vipers SC ameweka bayana kuwa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mabingwa wa Uganda wanatarajiwa kushiriki katika kilele cha Wananchi hapo Agosti 6. Pia Mabingwa wa LigiKUU Tanzania Bara watatumia mtanange huo pia kufanya tathmini ya Mchezaji Ceaser Manzoki...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alitaka Kutudanganya na Kutuficha kuwa Yanga SC hawako katika Mzozo wa Kimkataba na Wakala wa Hoteli huko nchini Uturuki ambako Klabu ya Yanga ilikuwa waende kwa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko...
3 Reactions
9 Replies
738 Views
http://cafawards2022goty.com/
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
1 Reactions
25 Replies
3K Views
KLABU ya Waydad Casablanca ya Morocco imepewa siku 45 kukamilisha malipo ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh. bilioni 1.6) kwa aliyekuwa mchezaji wao, Simon Msuva baada ya nyota huyo kushinda...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye...
0 Reactions
7 Replies
796 Views
Yanga SC imeingia katika mzozo na Kampuni ya uwakala wa mechi inayojulikana kama ENDA TOUR ambayo inatambulika na FIFA, kwa KUKIUKA MAKUBALIANO ya kimkataba. Yanga inasemekana waliingia mkataba...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Pre Season …Maana na maelengo yake …twende pamoja unaweza kupata kitu . kalamu ya Nasri Kulemba[emoji3578] Pre season ..mafunzo ya kabla ya msimu ..au mazoezi ya kujianda na msimu mpya .. Ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…