Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha...
Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league...
Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia...
Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie (Mazuzu) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa.
Tunaenda Kukamilisha na...
Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa majaribio kwenye michezo ya Nusu Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya...
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa.
Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona.
Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up.
Je, ni wale wachezaji...
Siyo mimi tu washabiki wengi wa Simba wamestushwa na baadhi ya sura walizoziona leo kwenye msafara wa kwenda Egypt
Kwa kuwa wenye maamuzi wameamua team iendelee na hekaheka za kutegemea...
Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili.
Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana...
Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini...
Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa?
Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani...
BREAKING NEWS:
Italian football agent Mino Raiola died after illness.
He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc
🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian...
Mkurugenzi wa idara ya habari ya mabingwa watarajiwa wa Afrika dar young africans anayetarajiwa kuchukua cheo hicho mwezi wa 7 ametikisa Bujumbura ikatikisika vilivyo
Bwana Manara ambaye ni msomi...
Klabu ya Barcelona hatimaye imekubaliwa dili la kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski kwa ada ya Pauni Milioni 42.5.
Kilichobaki ni kukamilisha mchakato wa usajili...
Ilikuwapo mipango na bado ipo mipango ya kuhakikisha team ipelekwe nje ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi.
Binafsi nimewaandikia viongozi wangu wa klabu wahakikishe wanaibakisha team hapa hapa...
Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand...
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana...
Kumekuwa na shutuma nyingi sana zikimuhusisha kocha huyu bora kabisa kuwahi kotokea ulimwenguni na ubaguzi dhidi ya watu weusi na karibuni alihusishwa na Yaya Toure, je lina ukweli hili ama shida...
Habari Wadau!
Kama kichwa kinavyojieleza na Mkurugenzi wetu amemaliza, ujumbe kwa wale wanaoona tunachelewa kumaliza usajili wa wachezaji ni hivi,"HATUSAJILI KIHOLELA,TUNASAJILI KWA MPANGILIO"
Uzi...
Awali napongeza uongozi kwa kuweza kukamilisha usajili wa wachezaji, japo sijajua kama usajili umekamilika au bado kuna wachezaji wengine watakaosajiliwa.
Kwa uzoefu wa mpira ni kwamba usajili...