Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati...
Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga,
Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo.
GSM mna...
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe
Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya...
Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena
Kwa msiojua ni kwamba...
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo.
Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio...
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee.
Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni...
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin
Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike.
Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪
Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality...
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo.
Inadaiwa Chelsea...
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season).
Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu...
WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE
PROFILE STEPHANE AZIZ KI.
▪️Name - Stephane Ki Aziz
▪️Date of birth - March 6, 1996.
▪️Citizenship -...
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key...
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye...
Yaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za...
Timu ya Taifa Tanzania imekuwa ikitumia nguvu kubwa mpaka miaka ya nyuma na mkuu wa mkoa kipindi cha Makonda.
Nguvu hizi sio msaada bali ni kupoteza muda kama kawaida yetu nchi hii.
Mtindo...