Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Urusi hakuna future tena, baada ya mabilioner kuikimbia wanafuata wanamichezo ====== (CNN)Russian-born tennis player Natela Dzalamidze has changed her nationality to Georgian to avoid the ban...
2 Reactions
8 Replies
892 Views
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya...
9 Reactions
140 Replies
11K Views
Hivi ikitokea Yanga anamfunga Coastal Union FC kwenye fainali ya kombe la shirikisho Tanzania bara -ASFC,na huku tayari akiwa Bingwa wa NBC premier league. Na kwakua mechi ya Ngano ya hisani...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkiambiwa simba wakajifunze jinsi ya kuendesha team kisasa toka kwa yanga mnabenua midomo kama watoto wa kike, tulieni dawa iwaingie makolo mtaisoma namba tu hata kimyakimya YANGA ni kama...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana. Anasema kama Mama Samia...
1 Reactions
45 Replies
2K Views
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve Ushauri...
1 Reactions
11 Replies
949 Views
Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwaka mzuri huu kwa timu zinazovaa jezi za njano.
3 Reactions
11 Replies
526 Views
Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio. Warekebishe huu. Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji) Paul Mkai...
5 Reactions
80 Replies
9K Views
Timu yangu pendwa ya Simba S.C iko kwenye mipango ya kuajiri kocha mwingine baada ya kumtimu Pablo Franco ambaye tangu awali sisi tunaojua soka tulijua hatofua dafu, mazingira ya mpira wetu wa...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Uliahidi mwenyewe August 2021 kwamba kambi mwaka huu ni washington Dc USA huku Dc utd wakiwa team mwenyeji na tutashiriki mashindano maalumu yanayoshirikisha teams za MLS na za South America...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu Napenda kuwapa Taarifa Kwamba Kuna Pambano la Marudiano Kati ya Bondoa Usyk v. Joshua. Pambano Hilo la Uzito Wa Juu (World heavyweight champion) litafanyika Trh. 20 Mwezi August 2022...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikiwa wamethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF kuwa ni wataalamu wa kusakata Kabumbu Nchini Tanzania, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Juni 19, 2022, watakuwa kwenye Dimba la...
8 Reactions
167 Replies
9K Views
Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Africa's Best Clubs (2021) by IFFHS 1. Al Ahly πŸ‡ͺπŸ‡¬ (225.5 points) 2. Pyramids FC πŸ‡ͺπŸ‡¬ (160.5 points) 3. Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ (153 points) 4. Zamalek πŸ‡ͺπŸ‡¬ (149 points) 5. Wydad Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ (147...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Miaka kama minne au mitatu nyuma mzee Hamis kilomoni alipinga kwa nguvu zote simba kuwekwa chini ya mikono ya watu wachache na ma genius kama sisi tukamuunga sana mkono matokeo yake mzee huyo...
1 Reactions
5 Replies
978 Views
Haya mambo yanakera sana. Tuliambiwa hivyo kwa Mugalu,Kanoute Bwalya na wengine wengi.Ila cha kusikitisha hao waliosifiwa hivyo wamekuwa wa kawaida sana kiasi kwamba hata vitimu vidogo vinaipania...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…