Ikiwa ndio pazia ya ligi kuu Tanzania bara likiwa linaelekea ukingoni kwa michezo kadhaa kusalia, huku Yanga ikiongoza msimamo napenda kutoa ushauri kwa benchi na uongozi wa Yanga kutafuta mechi...
Mimi kama shabiki wa simba sports club timu bora Tanzania na ni miongoni mwa timu bora Africa nawapongeza sana watani zetu wa jadi Yanga Sports Club kwa kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022.
Ukweli...
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za...
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA...
Baada ya kula ng’ombe mzima katika mechi 26 zilizopita, leo ni fursa muhimu kwa Yanga kumalizia mkia utakaowapa rasmi ufalme wa Ligi Kuu msimu huu, watakapoikaribisha Coastal Union katika Uwanja...
Huwa najiuliza sana, inakuwaje kwa Mkapa hatoki mtu lakni tunapocheza na Yanga tunakuwa wazembe kiasi kwamba hata sare yenyewe inakuwa kwa mbinde, najiuliza Haji Manara anajuaje mipango yetu ndani...
Hadi sasa Simba anaongoza, tuendelee kupeana updates.
Credit: Azam tv
Haya ni matokeo ya 05/06/2022 saa tatu kamili usiku.
06/06/2022 saa 8.00 asubuhi
Tarehe 06/06/2022 saa 7.00 mchana...
Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye...
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi...
Kama ungepewa nafasi ya kuwa mshauri mkuu kwenye timu yako, na kuna nafasi moja ya usajili na hao vijana wawili wapo sokoni. Ungemchukua nani kati yao?
Au kwa kifupi tuseme kuwa kwa mtazamo wako...
Nitumie nafasi hii kuwahakikishia Watanzania kuwa tutaweka nyasi bandia kwenye viwanja 5 kwa kuanzia Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Mbeya ili kukuza mchezo hapa nchini.
Msamaha wa kodi kwenye...
Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa,
Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika...
Wanajamii wenzangu jana nimepata taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Duncan Butinini aliyeugua kwa muda mrefu. Huyu alikua mwanasoka hodari miaka ya 90. Msiba upo Kimara kwao. RIP
Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya...
Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda...
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali.
Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu.
Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas...
Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani.
Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha...
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury
Sasa ni rasmi kwamba...
Wanaandika
Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa 😃
Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa 🧐 #NguvuMoja
Je, litakuwa...
Wakuu salam.
Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea .