Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya...
"Tunawataka wana Yanga SC wote wajisajili kwa huu Mfumo wa Kielektroniki ili tuwe tunswajua wale ambao watakuwa wana misbehave kwani hivi sasa ili mwana Yanga SC uwe na ruhusa ya Kutusema...
“Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally...
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana.
Haijalishi anaongoza kwa kufunga magoli, ila attitude yake ni changamoto.
Nakumbuka siku moja kuna mchezaji wa Simba kama vile Kanoute alifanya...
Kiukweli kwa namna Simon Msuva anavyocheza sasa hivi, hakuna tofauti na wachezaji wengine wa ligi yetu ya NBC, tofauti na alipokuwa Wydad, Msuva hana stamina, hana confidence, hana control...
Mechi ya Timu Bora na Underdog imeisha, kilichobaki ni mashabiki vitumbua kuanza uchambuzi wao unaoegemea Ussimba na Uyanga
Hoja yangu ni Moja t, nafikiri Simba huwa Ina m-underrate Muzamir Yasin...
Team mwaka huu imechukua ubingwa chini ya Msolla na inaenda kuchukua ubingwa wa Afrika ama kwa hakika anatosha kabisa kuupata Urais wa klabu bora kwa viwango vya CAF eneo la Afrika Mashariki yaani...
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.
Huu sasa ni uhuni.
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.
Tutanuniana sana Mwaka huu.
Wawekezaji waheshimiwe !
Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya...
Kweli wananchi wana heshima zao
Ufuatao ni Mkwanja mrefu watakaovuna wananchi baada ya kubeba ubingwa
Bonus za Azam tv maudhui= Tsh 3billion
Bonus ya haki ya matangazo ya Azam =Tsh. 500 milion...
DARWIN NUNEZ NI OLD TRAFFORD AU ANFIELD ,KAZI NI KWAKE .
Kalamu ya Nasri kulemba .
Ngoma bado ngumu kati ya magwiji wawili kutoka katika nchi ya malkia ,, waswahili wanamsemo wao mmoja mwenye...
Hawa wachezaji wa kimataifa walikuwa first eleven pale Jangwani, wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha Real Madrid kufumba na kufumbua eti wapo Kitayosce sijui DTB sijui Namungo.
Labda Amis...
Kwa mfano Burundi ina Uwanja wake wa Mpira tena mzuri tu kilichowafanya waihamishe hiyo Mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 Ivory Coast kutoka Bujumbura Kwao kuja Kwetu Tanzania ni nini?
Na ni...
Kwa mara ya kwanza kambi ya Riadha iliwekwa West Kilimanjaro, ilipomaliza Mafunzo ya huko, ikaamishiwa Olmotonyi Arusha, baada ya Serikali kushindwa kulipa pango , timu ikahamia Chuo Cha Habari...
Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa Valencia na kusaini mkataba wa miaka miwili
Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada...
Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena...
Kocha wa Simba SC, Pablo Franco Martin ni mwalimu mzuri sana, ila anahitaji wachezaji ili kuweza kuongeza nguvu kwenye kikosi chake ili ufanisi wa kazi yake uonekane zaidi Tanzania na Nje.
Kwenye...