Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na...
Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli...
Algeria ni nchi yenye mafanikio makubwa kisoka kama ilivyo Egypt, Morocco, na Tunisia.Ni nchi ambayo inaweza kuomba mechi ya kirafiki na Brazil ikakubaliwa bila masharti, inaweza kuomba mechi ya...
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo Jumatano ya Juni 8, 2022 kinashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kukivurumisha na timu ya Taifa ya Algeria.
Ni fusra kwa Stars kuweka hai...
Wanabodi
Timu yetu ilicheza vizuri sana. Tuliwamudu kabisa Algeria hadi Dkk ya 40 tukafungwa goli la bahati mbaya la faulo linalofanana kabisa na goli la kwanza Algeria walilowafunga Uganda hivi...
Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
Kiungo Mkenya na nahodha wa Montreal Impact, Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa katika Major League Soccer (MLS).
Wanyama anaingiza Dola milioni 3.09 (Tsh. Bilioni 7)...
Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo...
Haji Manara, semaji la mabingwa wapya nchini Yanga wanaosubiri kutawazwa muda wowote kuanzia wiki ijayo, jana alikuwa na mambo mawili kwa wakati mmoja, kwanza alianza kuhamasisha watanzania kwenda...
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja...
Kama kawaida yetu tushanyonyolewa 2 huko na Algeria tukiwa nyumbani.
Sasa tutaanza hesabu za vidole Kama kawaida yetu fulani amfunge fulani na ss wakat huo tushinde mechi fulani ndio tutaenda...
Messi Vs Timu za Ulaya
Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini
Kumbuka:
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya...
Inadaiwa Klabu ya Manchester City imeongeza jitihada za kutaka kumsajili nyota wa Klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England, Bukayo Saka
Mabingwa hao wa England wanafuatilia kwa karibu...
1 Andaeni mararamiko yenu mapema kabisa kabla ligi haijaanza muyawasilishe pale TFF!
2 Mwaka huu tunachukua makombe yote mpaka na kale kakombe ka ndodo ka mapinduzi halaf tuone kiburi chenu...
Inadawa Real Madrid imekubaliana na AS Monaco kumnunua Aurelien Tchouameni (22) kwenye usajili utakaogharimu jumla ya zaidi ya Paundi Milioni 85 (Tsh. 249,405,355,250).
Klabu za Liverpool...
Tangu nipate akili sijawahi kuona Timu ya taifa letu ikila kichapo cha mbwa mwizi kama hiki , unalipwa hela nyingi ili ufanye kazi lakini umeshindwa , tungeweza kufungwa ila si kwa kipigo cha...
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja...
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya)
Game litachezwa...