Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari Wana JF Baada ya mechi hii kuisha ....board ya wahariri/ wachambuzi mahiri na mabingwa wa kuchambua soka Africa (UWABATA) Tumekuja na uamuzi wa kukishauri chombo chetu Bora cha mpira hapa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
usiku wa ulaya huko Paris #liverpool #realmadrid
5 Reactions
135 Replies
6K Views
Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama Simba inataka ifanye vizuri na ibebe vikombe vya ndani na nje sajili hawa kama wewe mwanaume tajiri Wanaoitwa na kucheza timu za Taifa za Afrika 1,Senegal 2,Ivory Coast 3,Nigeria...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final. Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau...
2 Reactions
4 Replies
786 Views
Japo mimi sio kocha na sijawahi kuwa kocha wa mpira lakini ifike mahali makocha waache formation za kucopy na kupaste. Eti unatumia formation fulani ya mpira simply eti kwa sababu inatumiwa...
3 Reactions
5 Replies
613 Views
Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu...
8 Reactions
49 Replies
5K Views
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya tathmini yangu, nimegundua kuwa Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu na atabakia na kombe lake la Carabao. Wote ni mashahidi, kwenye EPL tumeona moto wa Man City ambaye kwa mechi...
11 Reactions
98 Replies
6K Views
Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool. Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie...
11 Reactions
101 Replies
9K Views
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL? Sababu hasa ni nini? Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba...
4 Reactions
113 Replies
6K Views
Nimekuja na ushauri baada ya kuona ligi yetu inazidi kukua na mpira kwa ujumla. Nashauri, TFF na serikali ni wakati sasa wa kuboresha viwanja vyetu vya mpira kama ifuatavyo;- Kwa kuanza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam, Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka. Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi. Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua. Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0. Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi...
3 Reactions
7 Replies
623 Views
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium. Ungana nasi wanasimba wa...
19 Reactions
405 Replies
36K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…