Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.
Yanga SC hivi sasa...
Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.
Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama...
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma...
Baada ya hili Sakata zima la Timu ya Arusha United a.k.a Wana Utalii ya Mkoani Arusha ambayo ilikuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na iko chini ya Mlezi wao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa...
Alikuwa na miaka 37 tu wakati wa kifo chake, miaka 16 baada ya Rais Kenyatta kumfungulia ili aokoe Stars.
KATIKA historia ya soka la Kenya inayoanzia miaka ya 1970 kumekuwa na wanasoka wengi...
Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili...
Saido na Ambudo wametimuliwa kambini baada ya kutoroka mazoezini na kwenda disco baada ya mchezo wa Biashara dhid ya Yanga ulioisha 1-1.
Hivyo hao wachezaji hawatakuwa sehemu ya kikosi jumamosi...
Utopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri.
The utopolaz a.k.a Yanga
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa...
[emoji2788] "Msimu huu wa mashindano ya CAF, Simba ya Tanzania ilianzia raundi ya pili ya mchujo. Siyo kwa sababu walikuwa mabingwa wa Tanzania, hapana. Hakuna bingwa wa ligi yoyote anayeanzia...
Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha...
Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo...
Klabu ya Simba leo Mei 13, 2022, imempa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu huu wa 2021/2022 Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison.
Simba imefikia maamuzi hayo baada ya pande zote mbili kukubaliana...
Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa...
Huyu mchezaji anachezea Yanga na timu za taifa za wanawake. Kimuonekano amevuka 17 ila bado anachezea mpaka timu u-17.
Asijesababisha matatizo ila kama ni u17 kweli haina tatizo.
Sasa ni muda wa sisi walimu kua na platform hapa jukwaan tujadili namna ya mbalimbali ya kushiriki katka kukuza vipaji changamoto pia tujadili na pia kupeana madili mbalimbali.
Binafsi mim ni...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika...
Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.