Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0.
⚽️' 34, F Mayele
⚽️' 39, S Ntibazonkiza
⚽️' 44' D Ambundo...
Simba imeshuka uwanja wa ndege ikiwa na mchezaji Triple C ambaye ilidaiwa kuwa na ugomvi na kocha wake Pablo, hata hivyo cha ajabu na cha kushangaza Chama alikuwa ameficha uso asionekane, lakini...
Huwa ninaona wachambuzi wetu wa soka wanachokiongelea mara nyingi sio sayansi ya mpira. Nammiss sana Dr Leakey Abdallah kwa vile simuoni mara kwa mara katika kazi hii aliyoifanya vizuri mno kiasi...
By Masau Bwire
More by this Author
USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila...
Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura...
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.
Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.
N.B kwa new school aka...
Droo ya 3-3 dhidi ya Brentford na 2-2 dhidi ya Brighton umehitimisha juhudi zao kuelekea ubingwa wa epl msimu huu!Liverpool wasahau kabisa kwa uzembe waliuonyesha!!
Chelsea ni timu iliyokamilika...
Ndio hivyo ukweli lazima usemwe..
Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF...
Licha ya kuwa na timu Kati ya...
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano?
Basi hayo yamejitokeza kwenye...
YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi...
Kwa yale aliyoboronga mechi ya jana leo tokea asubuhi redio karibu zote na mijadala mingi ya kumkosoa imeibuka na kuendelea hadi mida hii karibu katika kila kipidi cha michezo
Ni wakati sasa...
Juzi bondia Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe alipata fursa ya kuandaliwa pambano na bondia chipukizi wa Masasi aitwae Ramadhan Migwede, Dullah alifanikiwa kushinda pambano hilo kwa knockout ya...
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football
Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma...
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba...
Habari za kutwa ndungu zangu
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye nia thabiti ya kuweza kukuza mpira wa Tanzania kwa kuwa mchezaji namba 13 yaani namaanisha mwamuzi(refaree) lakini changamoto ni moja...