Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Inafahamika dhahili msimamo wa timu ya mbeya kwanza na namna ambavyo wapo hoi uwanjani siku zote, si jambo la kujivunia kuwafunga hata kidogo Si ajabu kpindi cha pili wakawafunga maskini wa watu...
1 Reactions
12 Replies
927 Views
Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu mchezaji wa AZAM FC Msimu uliopita alikuwa anaitwa BRYSON RAPHAEL na msimu huu anaitwa SOSPETER BAJANA. Kwa wanaojua ni kwanini huyu jamaa kabadilisha majina.
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu mbona Dream League nikiingia playstore niambiwa UNAVAILABLE IN YOUR COUNTRY halafu nikidownload kupitia google linagoma ku install inaandika HUENDA KIFAA KIMEHARIBIKA naomba mwenye kujua...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo. Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi? Soka la Bongo kama siasa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Shabiki wa simba anaejulikana kwa jina la Agustino Mwangosi kutoka kijiji cha kingiri kata ya Ipinda wilayani Kyela, auwawa na shabiki wa yanga (Jina Kapuni) kisa ikiwa ni majibizano ya mchezaji...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara nyingi katika mechi hizi inapotokea wachezaji wanapotoka au kufanya kosa ambalo mwamuzi hakuliona huwa tunaona adhabu hufuata baada ya siku chache either kwa mwalimu, mchezaji au timu...
2 Reactions
5 Replies
512 Views
Wakuu, Kama mnakumbuka wakati wa usajiri kipindi kile yanga kulikuwa na majina mawili mezani,wote wakiwa ni wacongo man Yaani yanick bangala na henock inonga injinia alianza kumfuata kwanza...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool -- Waziri Mchengerwa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimefuatilia mechi nyingi ambazo Simba wamepata ushindi mkubwa na kubaini kuwa beki kiongozi, mhamasishaji wa mashambulizi, mwenye macho ya kuona nafasi za washambuliaji na kuwatuma, Mzee baba...
2 Reactions
4 Replies
563 Views
Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote. Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!! Ameishia na keshaanza...
3 Reactions
5 Replies
730 Views
Vuguvugu na patashika na mshike mshike ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League kuendelea kupigwa leo Mei 18, 2022 ambapo Wana lamba lamba Azam FC wanamkaribisha Mnyama Mkali Mwituni Simba SC...
10 Reactions
345 Replies
20K Views
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale Clouds TV & FM. Aliyewahi kuwa kiungo wa Simba, Azam na Taifa Stars, Amri Kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya Yanga na Azam, wao Azam...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…