Licha ya kuwa na msimu mbaya, Manchester United imekamilisha mchezo wake wa mwisho kwenye Uwanja wa Old Trafford msimu huu wa 2021/22 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brentford.
Katika mchezo...
Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya...
Huyu bwana mdogo apewe tu heshima yake tuache kusifia wachezaji wa kigeni.
Dogo mpira anaupiga jana kaweza kupambana na Morrison akahama namba akaja Sacko nae kabadili namba kaja Chama naye...
Natumaini ten Hag atatumia mfumo wa 4-3-3
Mimi ningependa:
1: De Gea
2: Timber (Ajax)
4: Botman (Lille)
5: Varane
3: Shaw
6: Rice (West Ham)
8: Tchouameni (Monaco)
10/8: Bruno Fernandes
7...
Aaron Ramsey Ni mchezaji wa mpira wa soccer aliyejiunga na timu ya Arsenal mnamo tarehe 10/06/2008 akitokea Cardiff City.
Ni mchezaji aliyedhaniwa kuwa na gundu/ mikosi ya ajabu Sana baada ya watu...
Kuna wachezaji Wengine sijui wanafanya nini uwanjani, Mtu anaruka ruka tu dakika zote haeleweki anataka kufunga au anataka kukaba
Huyo Mugalu ndio maana alipigwa kadi nyekundu South kwa Orlando...
Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa
Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini...
Baba Jeny bye bye
Wakati stori kubwa ikiwa ni Inonga na Mayele huku wakisahau pia kulikuwa na Chama ambae hakufurukuta mbele ya kibwana, wakati wakisema kuwa hajatetema wanasahau kuwa Morison...
1. Kujiona ( Kujimwambafai ) kabla ya Mchezo kuanza kwa Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston Mayele kulichangia Kumharibu / Kumharibia Kisaikolojia kwani Kitendo kile ni kama vile kiliwapa...
Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo;
Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja...
Ni wazi msimu ujao upo uwezekano mkubwa tunaenda kushiriki kimataifa,swala la sajiri mpya limekua likiongelewa kimya kimya kana kwamba si jambo la lazima,lakini kwa game ya leo ilivyoenda tuna...
Nimetokea kumkubali sana huyu mwamba nahodha wa Southampton Fc ya kusini mwa Uingereza. Kwanza jinsi anavyojikunja wakati anapiga mipira iliyokufa ni 🔥🔥
Anaitwa James Ward-Prowse yaani fundi...
Dah namsikiliza kijana Stamina Sharobwenzi sasa hivi clouds fm akiwa anatambulisha team yake ya ndondo cup iitwayo stamina fc anajinasibu kwamba kakipiga sana against Dickson job katika...
Naaam wasalam wakuu,
Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani
Karibuni katika matukio...
Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza;
Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi...