Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya jana Raja Casablanca kunyolewa japo sikupenda,na pia Es Tunis kunyolewa sasa naona kuna kila dalili ya mamelodi kunyolewa leo maana hadi sasa 0-0 halftime,aggregate 2:1,na sioni dalili...
4 Reactions
8 Replies
681 Views
Timu zilizokumbana na mtetemo wa Mayele Tanzania . Nikianza kutaja 1.Simba sports club hii ilikua ngao ya jamii ndio Mayele alipotambulishia style yake. 2. Azam hapa mwamba alitetema kwa bonge...
0 Reactions
5 Replies
887 Views
TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie. Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Stadium: Emirates Mpaka sasa Arsenal 3, Manchester United 1. = ================== UPDATES: Coming Soon 78' mambo bado ni yaleyale. Yellow Card😂: 4 kwa Man Utd; 3 kwa Arsenal. (90+)'. Goals...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Mweny taarifa sahihi unsaidie ili nijiandae,nkashuhudie Yang akipoteza point tatu
0 Reactions
6 Replies
514 Views
Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu. Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya...
2 Reactions
5 Replies
802 Views
Yeye na timu yake kina Mwakitalima mnastahili pongezi. Kwanza umeunganisha matawi ya Simba na umeacha kujiona boss. Pia umewafanya wanazi wa Simba kina Mwakitalima, Mzee wa Pass milioni, Aggy na...
21 Reactions
30 Replies
2K Views
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo. Julio ameongeza kuwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Huyu kocha Kwa kauli hii anaonekana kabisa anaipambania Simba iwe bingwa na sio timu yake. Hii inatoa mashaka kama kweli siku timu yake itakapocheza na Simba hataihujumu timu yake
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
"Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Lewis ambaye ni mshindi mara saba wa Formula 1 world champion na Serena ni mshindi wa 23 tennis grand slam singles titles. Wameungana na wengine watatu pamoja na mwenyewe Sir Martin Broughton...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani. So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika, Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tunasubiri kwa hamu kama litajitokeza kanjanja lolote huko south africa kufanya interview huku kwetu na kuandika makala ndeefu kuelezea jinsi Orlando pirates walivyowanyima simba escort ya police...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hawa ni miongoni mwa the best strikers kuwahi kutokea katika historia ya soccer. Bila ushabiki wa team husika na mchezaji husika, ni striker yupi kutokana na ubora wake atashika nafasi ya 1, 2 na 3?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…