Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Jana huyu mpayukaji aliitia press conference isiyo na kichwa wala miguu. Press conference isiyo na ajenda yeyote zaidi ya kupayuka na kupovuka. Kama kawaida yake,katika kutoa povu amejikuta...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Mabao ya Luis Diaz katika dakika ya 5, Mohamed Salah (22 na 86) na Sadio Mane (68) yameipa ushindi #Liverpool dhidi ya Manchester United katika Premier League kwenye Uwanja wa Anfield. Nahodha wa...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri...
0 Reactions
3 Replies
569 Views
Naaaam! ni ukweli usiopingika kwamba , timu kutoka nje zinapokuja kucheza na simba katika mashindano ya CAF CL au CAF CC zimekuwa zikinufaika na mapokezi makubwa kutoka kwa Mashabiki wa Yanga...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwema Wakuu, Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Sacko ni lulu yenye thamani kubwa sana.... Kwahiyo Mayele kule Caf hajulikani et!
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ninawafuatilia wanashangaa sana timu kupigwa red card halafu inashinda! Kama waliamua kufanya kazi hiyo,wafanye utafiti watagunfundua timu inapocheza pungufu uwanjani mara nyingi huwa wanamatokeo...
0 Reactions
8 Replies
632 Views
Video Assistant Referee (VAR) Ni TV tu inayowekwa uwanjani lakini wanaohukumu wanakuwa hawapo uwanjani na huwezi kuongea nao wewe au kuwaona isipokuwa Referee akipitia kwenye mawasiliano, mfano...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za...
22 Reactions
94 Replies
5K Views
Pamoja na yote tukubali kuwa SSC haitoweza kucheza nusu fainali. Hii ni kwasababu timu hiyo haijawahi kuandaliwa kwa mfumo wa knock out. Ni kikosi kimoja tu mimi nakiita kikosi cha dhahabu...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Shomari Kapombe show me the way ....... Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi...
3 Reactions
94 Replies
4K Views
Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo...
3 Reactions
4 Replies
781 Views
Msimamizi wa Video Assistant Referee (VAR), Nchini Tanzania, Leslei Liundi akizungumzia kuwepo kwa Teknolojia ya VAR kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kati ya Simba SC...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa macho yangu niliona malengo mengi hasa majukwaa ya juu ya kusini mwa uwanja. Lkn kumekuwa na mabishano ya kadhaa huku wengine wakisema Simba waliujaza uwanja (full house). Pengine nina shida...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia interview ya kocha wa Orlando Pirates kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo, Nilichogundua ni kuwa Kuna watu wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kwa wageni kuhusu Simba...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…