Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo...
27 Reactions
234 Replies
13K Views
Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nasubiria Majibu yenu Wanamichezo.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
G[emoji991]
1 Reactions
18 Replies
836 Views
Errol Spence Jr Vs Yourdenis Ugas Ni vita, Ni moto, Ni hatari! Mtoto hatumwi Dukani!
2 Reactions
5 Replies
791 Views
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale...
2 Reactions
8 Replies
989 Views
"Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao"...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Walianza hivi Malengo yetu msimu huu ni Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league Kisha wakaendelea Yanga wao kazi yao...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod. Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Haya wajameni simba lunyasi inajulikana ni hatari sana Kaizer chiefs walionusurika kutolewa mwaka jana baada ya simba kunyimwa penalt kwa konde boy kuangushwa ndani ya sita wanajua moto huo...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Taarifa ni kuwa bondia namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kusaini mkataba wa kucheza ngumi nchini Marekani wenye thamani ya Sh milioni 232 chini ya bondia wa zamani na promota...
12 Reactions
99 Replies
7K Views
Benzema simpendi japo kama akibeba ucl na laliga basi anaweza kuchukua. DeBruyne yeye atabeba endapo man city itabeba ucl na epl. Salah naye bado yumo na anaweza kuchukua epl na ucl. Mane naye...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga ameondoka Nchini Tanzania kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Injinia Hersi baada ya kudaka saini ya KI aziz Stephanie , Peter shalulile huku ikisemekana wanamtumia Ibenge kuharibu deal la Adebayor ili wamchukue amefanya matusi makubwa sana...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Kuchelee. . Timu ya taifa ya kuogelea iliondoka jana kwenda Birmingham Uingereza ikiwa na muogeleaji mmoja na viongozi 19 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] . Daaaaah Mungu ibariki...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii inaonyesha no jinsi gani kufanya maamuzi ukiwa na hasira unaweza kupata madhara makubwa....... Tajiri wa tiktok alijaa hasira baada ya manzi yake kubugudhiwa kuingia UWANJANI.....na kudeclare...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari za masiku waungwana katika medali ya soka. Kwa ambaye amefuatilia michuano ya Uefa msimu huu atakuwa kanote kitu, mpira wa ulaya umekuwa sio kama kipindi cha zamani ambapo timu zilikuwa...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…