Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Simba SC kufika hatua ya robo fainali ya CAFCL na CAFCC siyo jambo la kushangaza, ni kawaida tu, ndiyo maana malengo ya Klabu kwa sasa ni Nusu Fainali na Fainali na ikiwezekana Ubingwa...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kati ya mayele na kagere nani ndo strike atari saana ?
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Naanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro. Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam. Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie...
3 Reactions
13 Replies
796 Views
Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto. Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME ...
3 Reactions
11 Replies
846 Views
Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina? Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa kuutazama huu muondo wa sasa hauleti ushindani na una mianya mingi sana ya hizi timu kongwe kuendelea kutawala. Ingependeza baada ya mzunguko kuisha, ichezwe ligi ndogo walau ya timu sita tu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
TANGAZO KWA WADAU NA WAPENZI WA MCHEZO WA DRAFTI Kuanzia kesho tarehe 30 mpaka tarehe 31 ya mwezi huu tunatarajia kushuhudia pambano litakalowahusisha mabingwa 16 wa mchezo wa drafi, pambano hili...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama uliangalia mpira wa Jana wa WANANCHI vs Geita gold sports nadhani utakubariana na Mimi kuwa Diara aliamua alikuwa na hesabu zake Kali tu ......kwani alikuwa na uwezo wa kudaka penalt zote...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Umewezaje Kwa muda mfupi kufanya mambo makubwa ndani ya Simba? Jibu ni jepesi tu haya ninayofanya niliyasoma darasani kwenye Topic ya PR Campaign Kama PR hujapita darasani huwezi kufanya vitu...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi...
5 Reactions
291 Replies
12K Views
Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
SIMBA wameileta timu nyingine kutoka Afrika Kusini ambayo ilikuwa haijawahi kugusa ardhi ya Tanzania. Mamelodi Sundowns wamewahi kugusa hapa. Manning Rangers wamewahi kugusa hapa. Santos wamewahi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajuba Leo kuna Mechi Ya Kombe la Shirikisho La Azam( Azam Sports Federation Cup) . Mechi hyo ni Kati ya Azam FC v. Polisi Tanzania. . Mechi itachezwa Sa2:15 Kwa Saa za Africa Mashariki Uwanja wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo...
8 Reactions
116 Replies
8K Views
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU). Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier. Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…