Pichani ni bwana mdogo wa Kinaijeria anaitwa Samuel Chukwueze anayeitumikia Club ya Villarreal ya Hispania na pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria [emoji1184] kama kiungo wa pembeni, yaani...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha kuwa Mkutano Mkuu wa 44 wa Kawaida wa CAF utafanyika Agosti 10, 2022 Jijini Arusha, Tanzania.
Katibu Mkuu wa CAF, Veron...
DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani.
Simba SC...
Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana...
Baadhi ya Wachambuzi wa Mpira wa nchi Hii Wanafiki Sana.
So Kama Haikuwa Penalty Ww unabadilisha Nini?
Mbona yaliyotokea Mkwakwani Hawayazungumzii mpaka Leo Ile Wamekomaa kusema Ile penalty...
Nimekuwa nikifatilia mechi kadhaa za team ya Fenerbahce lakini nahodha wetu takribani mechi 5 mfululizo zilizopita sijamuona akicheza na hata kwa wachezaji wa akiba jina lake halipo! Nijuzeni nini...
Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba.
Lakini...
Hi there...
Hivi hii technology ya VAR mbona inachukua muda mrefu kufika hapa bongo??
Ingesaidia sana kupunguza makosa mengi ya marefa wetu kwa sababu kuna makosa mengine dah hadi unajiuliza...
Habari wakuu
Mimi naona mareferees hapa kwetu wamekuwa na makosa ya maksudi kabisa kwenye maamuzi uwanjani na hii ni kutokana na mihemko / ushabiki/ pesa wanazokuwa wamehongwa kuamua game ,hapa...
Hivi huwa ni uwezo wenu au Kuna la ziada??
Nimewaangalia mechi yenu ya juzi,
mkapata goli dakika ya 93, yaani mlishinda kama ajali tu, au kwa bahati mbaya, hamkucheza Mpira wowote wa maana zaidi...
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
Penalti ya Yanga dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, ilimeacha makovu mkubwa sana kwenye medani ya soka kwa namna ilivyopigwa na kukubaliwa huku wachezaji zaidi ya wanne wakiwa...
Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter.
Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus.
Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona.
Arsenal: kumsajili Pepe kutoka...
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji...
Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao...
Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti.
Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports...
Leo tarehe 10 April 2022 majira ya saa 16:00, Mnyama hatali Sana , mnyama mwenye njaa ,, mfalme wa nyika , Club ya 12 kwa ubora Africa nzima,, club ya 12 miongoni mwa vilabu vya soka Africa nzima...
Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.
Hoja ya VAR, wako ambao hawataki...
Huu ndio ushauri wangu kwa viongozi na wachezaji wa Yanga ili tusije kujikuta tunakosa ubingwa au kutwaa ubingwa dakika za mwisho kabisa.
Sifa kwa Yanga zikiwemo sifa kwa wachezaji binafsi, ni...