Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au...
6 Reactions
51 Replies
45K Views
1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine 2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu kiukweli nipo addicted na Cristiano Ronaldo yaani wakuu chochote ambacho Ronaldo anakitangaza nipo tayari kukinunua kwa gharama yoyote ata akitangaza chupi au kondomu nipi tayari kununua...
7 Reactions
16 Replies
552 Views
I salute you. Simba wamejiaibisha sana sana! Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za mapumziko, Mashabiki na wapenzi wa kandanda Tanzania na East Africa kiujumla. Jana SIMBA walicheza mechi yao ya pili katika mashindano ya CAF confederation CUP na kupoteza kwa magoli...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Hii inawahusu wale waliokuwa washabiki wa Mnyama ambao walihamia Tu-mbili Sports Club aka Utopolo, na sababu kuu waliotoa NI kuwa wanafuata furaha kwenye Timu isiyofungwa. Wengine walitukejeli adi...
0 Reactions
2 Replies
290 Views
Dirisha dogo la usajili linakuja January Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi 1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana. Kama tunavyojua Simba...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka...
1 Reactions
6 Replies
472 Views
Umefika muda Yanga sc hawajui hata waanze kumlaumu nani. Kipigo cha leo cha Yanga dhidi ya Al Hilal kimekuwa na sitofahamu tatizo la Yanga ni nini kwa sasa maana kila mtu anasema lake Kocha...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
How we calculate vat 20% in betting games 20% of vat is what you won after deduction of original amount Example; You won 1500 after place bet by amount of 1000 now take 1500-1000=500 this 500...
0 Reactions
5 Replies
732 Views
Siku nzuri kwa mashabiki wa betting! Timu zangu za Over 2.5 zimekamilika, na kwa odds tamu kama hizi, hatuna budi kutinga faida. πŸ€‘πŸ”₯ βœ… Code ya BetPawa: TP5HM5B βœ… Odds jumla: 5.52 βœ… Hakikisha...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Amani iwe nanyi ndugu Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu Wanetu hatuna kocha
12 Reactions
65 Replies
2K Views
Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya. Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi...
4 Reactions
17 Replies
866 Views
Naulizia ili nipate namna ya kutathimini. Pia naulize je kwenye kundi hili Kuna timu inayocheza vizuri kuizidi Simba??
2 Reactions
4 Replies
425 Views
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…