Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

YANGA VS BERNARD MORRISON: UELEWA WANGU WA UAMUZI WA CAS Jumatatu tarehe 22 Novemba, 2021. Tarehe 12 Agosti, 2020 Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF ilitoa uamuzi wa shauri la Yanga...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora. Mambo ya...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3 2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3 3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3 4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2 5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2 6...
2 Reactions
8 Replies
965 Views
HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5...
0 Reactions
7 Replies
791 Views
1:Kuzuia Kuzama Kuzama ni sababu kuu ya vifo vya ajali kwa watoto na watu wazima walio kwenye hali ya USONJI(AUTISM) Kulingana na Chama cha Kitaifa cha Autism, kuzama kwa bahati mbaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC...
12 Reactions
25 Replies
2K Views
Takwimu hadi kufikia jana Eng. Hersi mech 1. Goal 1 John Bocco ..mech 17 ...goal 0 Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/...
7 Reactions
86 Replies
3K Views
WATANZANIA WENGI WAMEKUWA WAKINITUMIA UJUMBE WAKINIOJI KUWA TANZANIA NIMEIFANYIA NINI KATIKA TASNIA YA MICHEZO. Kwanza nimekuwa nikilikwepa swali hili makusudi, mimi ni Mtanzania sio lazima...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua kwa taarifa yangu hii ( Uzi wangu huu ) kuanzia sasa Wagonjwa wa Presha wataanza Kuongezeka Mahospitali na huenda hata Mochwari nazo zikaanza Kujaa. Huku Adebayor huku Chama huku Aucho kule...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari, Young Africans Mabingwa Wa Kihistoria Nchini Leo Wataingia Uwanjani Kumkaribisha KMC kwenye mchezo wao wa kumi na name hapo saa moja kamili usiku Uwanja Wa Benjamin Mkapa. Hadi sasa...
3 Reactions
494 Replies
20K Views
Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya Mr pablo kuwa serious bana...
1 Reactions
10 Replies
833 Views
Anaandika Msema Ahmedy Ally. Muda huu wachezaji wetu wapo kambini Mbweni wanakula upepo wa Nchi [emoji1] Wengine wapo vyumban wanacheza Play Station saafi[emoji106] Tshabalala kawasha Bluetooth...
22 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwanza kwa kuanzia tu, ni kwamba tukija upande wa "kiufundi" ningesema sifa tatu muhimu kwenye mpira ni: intelligence, communication, and discipline. Inafahamika kuwa Xavi ni mchezaji mwenye...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Lionel Andrés Messi alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika klabu ya Barcelona F.C. iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Argentina. Mara nyingi...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa humu ndani. naomba kufahamishwa ni timu zipi zitakazofuzu kati ya hizi timu tatu ambazo zinalingana point. Inatakiwa kufuzu timu mbili tu. Kuna timu A, timu B na timu C zote...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mechi nyingi walizocheza nyumbani wamekuwa na makosa mengi hasa ya kiulinzi, kukosa kujiamini na ubunifu wa kupanga mashambulizi. Inawachukua zaidi ya dakika 15 kuanza kuwa makini na kufanya...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Afcon 2022 Baada ya refa wa Zambia kupiga kipenga cha mwisho kabla ya muda wa mechi kukamilika katika mechi kati ya Tunisia dhidi ya Mali, wakufunzi wa timu ya Tunisia waliwasilisha pingamizi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa CAF, Simba imekuwa ndio klabu inayotazamwa kwa wingi na mashabiki kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za CAF, ikiwamo Youtube (CAF TV) kulinganisha na timu nyingine kongwe Afrika...
27 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…