Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo.
Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira.
Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama...
Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi.
Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi.
Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa...
Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri
Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda
Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi
Tatizo la coach...
Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza...
Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana...
Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu.
Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga...
Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine.
Kikosi kitaondoka na...
Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3.
Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao...
Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi...
Habari wakuu wana Jamii Forums.
Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria
Nimekuwa nikifuatilia...
Jana watu wanapiga kelele mitaani ingiza Chama, ingiza Chama, akaingizwa kweli bana, kwa kweli jamaa amepoteza kabisa heshima yake, jina lake lilikuwa kubwa sana hapa nchini, kila mtu alimuimba...
Ukistaajabu ya Musa ......utaona ya makolo
Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target)
Hii...
Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni.
Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale...
Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi
GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na...