JamiiCheck - Tanzania

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

JF Prefixes:

JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga kusimamisha wagombea kwa 85% mijini na 60% vijijini.
Inasemekana kuwa Emmanuel Nwude, mmoja wa matapeli maarufu zaidi katika historia ya uhalifu wa kifedha nchini Nigeria ambaye kati ya miaka ya 1995 na 1998, aliwahi kumuuzia mtu uwanja wa ndege wa bandia, akijifanya kuwa mkurugenzi wa Benki Kuu ya Nigeria. Kwa udanganyifu huu, Nwude alimdanganya meneja wa benki ya kigeni huko Brazil, Nelson Sakaguchi, kuwa Nigeria ilikuwa ikijenga uwanja wa ndege wa kimataifa mpya huko Abuja, na kumshawishi kuwekeza kiasi kikubwa cha pesa. Kuna ukweli kiasi gani hapa?
Back
Top Bottom