Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza...
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI
Jambazi akasema "wote laleni chini pesa
ni za serikali na maisha ni ya kwenu",
wote wakalala chini (HII INAITWA
DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha
njia ya
kawaida ya...
Aina za ndoa...
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA...
Lengo Ni kupeana mbinu mbadala za kushnda matamanio japo vishawishi Ni vingi.Inawezekana bila ngono,inawezekana bila michepuko,Inawezekana bila Musterbation. #UsipateUkimwi2017 #UsipigeNyeto2017...
Huwa nacheka sana nikisikiliza story za vijana wa kibongo eti wao ni mafighter au wamehustle sana! Labda kwa kufanywa punda hapo sawa ama kuwa wabeba box[emoji23]
Sijawahi kusikia wabongo...
Kum-wish rafki yako cku ya birthday yake sio tatizo, tatizo ni pale unapomwambia "uishi miaka buku" au "uishi miaka miaka mingi kama no za vocha" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] as if we...
wakuu, kipindi hiki cha redio free africa, kilikuwa bomba sana wakati akiwepo Freduwaa. huyu aliyepo story nzuri sana lkn oresentation yake very poor!
kila mtu na fani yake
Naomba kuuliza
Hivi kwa mfano mtu anazungumzia maswala ya demu wake wewe utachangia nini sasa?
mazungumzo hayakataliwi lakini zungumzeni kitu ambacho kila mmoja atashiriki..!!
mawazo yangu tu...
Pamoja na kuwa Mh.Magufuli rais wa Tanzania anajitahidi lakini pengine kwa mtazamo wako kuna kazi nyingine angeifanya vizuri zaidi ya hii ya urais
Baadhi ya wadau na wachambuzi wamekuwa na...
Wana bodi,
Naomba tujumuike hapa River side ubungo, kumpongeza afande Mentor ze polisi katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Mentor a great man in JF, happy birthday brother.
Picha...
Wanaume wa Tanzania tuko lege lege mno, hata "kukata mti na kuuangusha" ni shida.
Kila mmoja akiona "mbwa pori" anakimbilia ndani hata barabara anaiogopa.
Wanaume wa shoka wapo Tunisia, Libya...