JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[emoji654][emoji654]Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga halafu unakuta umebakiza unit 60 za umeme, [emoji117] inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo wife si kaniamsha kibabe. Eti "wee kunguru ebu amka huko unapenda kulala lala kama mwanamke ebu nenda katafute"?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] . Basi mimi...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Mambo Kumi Ninayojifunza January ya Mwaka huu.... 1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa. 2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini. 3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika...
0 Reactions
4 Replies
696 Views
MH. Unaweza okoa mazingira maeneo ambayo kwa sasa yameharibika. ..agiza na watasimamia
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Haka kawimbo ka Alikiba ka aje kametokea kuwa ni kawimbo kanakochukiwa zaidi na jamaa wa chelsea especially inapofika ile sehemu anayosema Aliii ni kipenzi cha watuu
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi ndugu zangu., Nilikua na swali kidogo kuhusu hii ishu ya kuogeshewa na mfedha fedha... Nimekua nikiskia sana kuhusu hii ishu lakini sijaelewa haswa; [emoji654] maana yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo kitendo cha kuwafollow celebrities mbali mbali nimeshangaa nimepata friend requests zisizopungua 500 na mpaka sasa naendelea kupokea friends requests Jamani wajuzi wa haya mambo ebu njoeni...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Baba mwenye nyumba calling[emoji390] Baba mwenye nyumba calling[emoji390] Baba mwenye nyumba calling[emoji390] New number calling[emoji390] New number calling[emoji390] Private number...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hakuna nyama tamu kama kitmoto nimejionea hapa dunian. Nawasilisha. Ikaushwe hisiwe losti kachumbali yenye pilpil Kali pemben Pepsi ya baridiiii plus kaugali kalaini. Jaman jaman hapa dunian...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Kuna jamaa alipewa shilingi 3987698237982...acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi T...safi sana, najua...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa alikua ana tabia akifanya mapenzi na Mke wake raha ikimkolea anapiga makelele mpaka majirani wasikia. Siku moja jirani yake *Mzee Hamisi* akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu...
11 Reactions
21 Replies
4K Views
kwani Mshana wangu mmempeleka wapi jamani....ndo mana i felt like something is missing...kumbe Mshana mwenye jr yake simuoni... Mshana popote ulipo come back please...imy...nimemiss mwandiko wako...
2 Reactions
81 Replies
4K Views
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi. Mwalimu Mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
0 Reactions
4 Replies
897 Views
1. Kuunga Foleni kwenye Vibanda Mihogo na watoto wa shulen. 2. Kupitia Kwnye Vibanda vya Chips Usiku Kupata Chips Mayai Kabla ya kufika Nyumbani . 3.Kubishana Matokeo Ya Mpira na Watoto chini ya...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Tujikumbushe methali ambazo zimekuwa funzo hadi leo katika maisha ya kila siku! ndururu si chururu! Muonja asali huchonga mzinga! Ukipata chungu kipya ustupe cha...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Walionilea nilipokuwa Shirika la Kifransiskani la Ndugu Wadogo wa Afrika-Morogoro, hasa kule Nyumba ndogo ya Kiroka (July 1998-April 1999) ni Ndugu Fidelis (wa kwanza kushoto), Ndugu Daudi (wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani...
4 Reactions
152 Replies
8K Views
Karibuni uzi wangu ndo umeisha hivyo...
0 Reactions
5 Replies
667 Views
Kwanini wanawake wanatutega wenyewe kwa uvaaji wao wa nguo fupi,zakubana na zinazoonesha maungo yao wazi alafu wakitongozwa wanazingua?
0 Reactions
9 Replies
782 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…