Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
Here we go again peace and emotion all up in your face,about to walk away...
both our hearts are broken
but the moment your gone all my colors fade, the bullets and liqour start to ricochet,I am...
Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC...
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.
Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge...
Yani eti sasa hivi nimekamata hela ndefu billion na ushee kitakachotokea vizazi na vizazi vitasimulia.
Natinga pale kambini lugalo nimevaa magwanda ya kijeshi la marekani yenye bendera ya...
I hate you all. I dont care. Siishi maisha yangu kwa ajili ya yoyote. Nilikuja duniani kivyangu na nitaondoka kivyangu.
I don't care about anything sasa hivi simuamini yoyote hata mtoto mdogo...
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂
Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani
Sikiliza matumizi ya dola 1
Namtafta sana huyu jamaaa lastseen yake ni December
Kama una ID nyingine nitafute broo
Pia kuna mtu anaitwa Captain chui mchafu (telegram)
Wagadawagada (telegram)
Mmoja wapo akiona huu uzi...
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu...
Hii imekaaje wanazengwe
Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri.
Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti...
Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia.
Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu...