za jioni ndugu zangu.
kwa dhati ya moyo wangu naomba mnisamehe wadau wenzangu wa jukwaa hili tunalojadiliana kuhusu mapenzi,urafiki na mahusiano.
mwenzenu Mimi mida hiihii nimetoka ktk kale...
Nimesikia kamkopo hakajazama jaman nikaona niendeshe kandinga kangu mpk hapa nizuge zuge nione ntaondoka na nani leo?
Au kametoka nisijetoka kapa?? Kama kuna boy amepinda njoo pm utakuwa wakala...
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama...
Madrug Lords ni watu wanaojihusisha na kusafirisha ama kuuza madawa ya kulevya katika viwango vya juu...wenyewe ndio huwasambazia mapusher wa kitaa hivi vitu ,so yule jamaa anaeuza mtaani hajafika...
Ha haa!
Ukija mjini ujiandae kuishi kwa masharti.
Mwenye nyumba anakwambia mwisho wa kuingia getini ni saa mbili usiku, wakati mwajiri anakwambia kutoka kazini mpaka saaa nne usiku. Yani ni full...
Wakuu,
Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu...
KITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO
i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya
JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa kuwa umepanda na wewe chukua ngazi...
Kuna uzi mmoja joshua_ok aliuanzisha kwamba katika kufanikisha sera ya nchi ya viwanda diaspora tushirikishwe, cha ajabu niliona reactions za wabongo, hasa Lumumba crew ( aka wala vumbi au buku7)...
DODOSO LA MKOPO
1.Jina lako..............................................
2.Jina la mzazi......................................
3.Shule uliyosoma o level...............
4.Shule uiyosoma...
eti jamani wakuu nimekuta jukwaa fulani nadhani ni habari na hoja mchanganyiko.kuna mtu amefariki,sasa nimekuta comments mbili tofauti sijaelewa mmoja kapost hivi {mbele yetu nyuma yake} na mwngne...
Nilalapo hujilaza ndani ya kifua chako niamkapo huamkia ndani ya mwili wako. Joto lako la mpnz nimeshare hats sioni mwingine. Hakika wewe sikuachi wala kukusaliti. Nasikia tu kuwa mpnz yanaumiza...